Alhamdulillah Leo nimepata fursa ya kukuona sheikh wangu....nimeishi nikiskia sauti yako tu Kwa miaka mingi...Allah aijaaliye yote ufanyalo Kwa kufasiri Qur'an khaaliswan mbele ya macho yake
2026-10-07 15:10:30
1
khadijamponda507 :
tabaraka Allah what voice mashaallah
2023-10-05 07:57:28
12
dullayo :
Maashaalla alluhuma baarik allah akuhifadhi
2026-01-17 14:32:21
1
HAFIDH_ELECTRONIC :
Masha Allah good voice
2023-10-05 07:23:55
10
Fahyla Alassad🇹🇿🇸🇴 :
your voice Mashaa Allah shekhe
2023-12-31 16:42:10
2
Ali seif suleiman :
Allah atuongoze ameen
2023-12-13 06:45:41
5
Africansafari :
Masha'Allah Tabaraka'Allah the Voice is really
2023-10-05 03:15:09
6
Fatma Mwinyi661 :
Nakupenda mno ahsante kwa ukumbusho
2023-10-05 05:38:27
13
The Mandalorian :
Sauti ya Sheik Allahumma laka l hamd.
naokumbuka leo mwaka wa 30.
Allah akuongeze umri na afya njema.
akulinde na kila shari utupe raha kila mara
amin
2023-10-05 14:52:39
7
Saidi Bakari :
allah akupe umri mrefu wenye Kheira nawe❤❤
2023-12-12 07:39:47
2
kassimkioko209 :
mashalla Leo ndio nimemuona.👍
2023-12-26 19:37:10
1
🐈🐈🐈 CAT :
nakupenda kwa ajili ya mungu
2023-10-07 06:22:46
4
Omary Karim :
Marshall ah nimefurahi kumuona mwenye sauti hii...Allah akuruzuq in shaa Allah
2023-12-26 20:32:47
1
Hood :
Maa Shaa Allah
2023-12-23 10:35:51
1
user8110152562553miss haules :
Allah Akbar
2023-10-07 05:33:01
3
Lipwa chat :
mawidha yenye manufaa 😢😢
2023-12-17 20:16:25
1
Saidleader :
Mashaallah tumuombe Mungu azidi kutupa yalo mema
2023-10-06 18:06:39
3
billu heena 💋rahaleo 💕 :
🥰🥰🥰allah akuhifadhi maalim🥰🥰
2023-10-04 20:26:54
4
hamsini :
mashaallah mungu akuweke nilipenda hii voice since nikiwa mdogo now 42yrs
2023-11-20 15:21:57
1
@Ismail :
mashaallah mashaallah mashaallah
2023-11-20 16:48:10
1
user8151517248185 :
ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله م
2023-10-05 05:10:31
3
user4945751355017 :
masha Allah TabarakAllah 🥰
2023-10-06 17:52:01
2
Mr__nia :
Alhamdulillah nimefurahi kuiona suraa hiii coz nimesiliza tafsili zake kwa miaka mingi mnoo ALLAH akuongoze zaid na zaid kwa sadaka hii
2023-11-21 09:38:50
1
To see more videos from user @mohdsuleiman26, please go to the Tikwm
homepage.