@seif_afyapoint: EPUKA MATATIZO YA MMENG'ENYO MBOVU WA CHAKULA #african_health_care #0673616221 JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe *CHANZO CHA TATIZO* ~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷ 👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU) 👉MATATIZO YA UMRI 👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU 👉UZITO KUPITA KIASI 👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU # DALILI ZA BAWASIRI 👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa 👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa 👉kujitokeza kwa kinyama 👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana *MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI* 👉Kupata upungufu wa damu (anemia) 👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo 👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume. 👉kuathirika kisaikolojia 👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali 👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa Kama kidonda.,, Tumia Tiba Asili +255673616221 #african_health_care #trending #soudiarabia #oman #usa #uk #foryou #grow #foryoupage #fypシ #bawasiri#uvimbekwenyenjiayahajakubwa#vidondavyatumbo#gesi#canceryautumbomku