@wisdomnuggetss: Luke Belmar Talking To His Fans.

WisdomNuggets
WisdomNuggets
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 15 October 2023 04:00:25 GMT
209
5
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @wisdomnuggetss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

👉🏻• Broilers (Fast Cash Flow): Hii ni biashara ya mzunguko wa haraka. Unapata faida ndani ya muda mfupi, jambo linalopunguza hatari ya mabadiliko ya bei ya soko kwa muda mrefu. Hata hivyo, ina High Variable Costs (gharama za uendeshaji ni kubwa kila lita ya maji na kilo ya chakula inapotumika). 👉🏻 Layers (Steady Income): Huu ni uwekezaji wa muda mrefu (Capital Intensive). Unatumia fedha nyingi kwa miezi 4-5 bila kuingiza kipato (kipindi cha kukuza). Lakini mara wanapoanza kutaga, mfugaji anapata
👉🏻• Broilers (Fast Cash Flow): Hii ni biashara ya mzunguko wa haraka. Unapata faida ndani ya muda mfupi, jambo linalopunguza hatari ya mabadiliko ya bei ya soko kwa muda mrefu. Hata hivyo, ina High Variable Costs (gharama za uendeshaji ni kubwa kila lita ya maji na kilo ya chakula inapotumika). 👉🏻 Layers (Steady Income): Huu ni uwekezaji wa muda mrefu (Capital Intensive). Unatumia fedha nyingi kwa miezi 4-5 bila kuingiza kipato (kipindi cha kukuza). Lakini mara wanapoanza kutaga, mfugaji anapata "Daily Cash Flow." Kiuchumi, Layers ni nzuri kwa mtu anayehitaji kipato cha kila siku cha kuendeshea maisha, wakati Broilers ni nzuri kwa mtu anayetafuta faida kubwa ya mkupuo (Bulk Profit). ✅Mtizamo wa gharama za uzalishaji 👉🏻KUKU WA MAYAI . Hatua ya Ukuzaji (Investment Phase)Mfano Hapa unatumia fedha bila kuingiza kipato. • Vifaranga: 500 x Sh 2,500 = Sh 1,250,000 • Chakula (Wiki 1–20): Kuku mmoja hula wastani wa kilo 8 mpaka kuanza kutaga. • Jumla ya chakula: 500 x 8kg = 4,000kg (Mifuko 80 ya kilo 50). • Gharama (wastani wa Sh 75,000 kwa mfuko wa kukuzia): (75000x80)Sh 6,000,000 • Dawa, Chanjo na Maji: (Hii ni hatua muhimu ya kinga): Sh 300,000 • Gharama za Uendeshaji (Vibarua, Umeme, nk): Sh 500,000 Jumla ya Mtaji wa Ukuzaji: Sh 8,050,000 2. Hatua ya Uzalishaji (Production Phase - Kwa Mwezi) Tuchukulie kuku 475 wamevuka salama (baada ya vifo vya 5%). Kuku wa kisasa wana kiwango cha utagaji (Lay Intensity) cha wastani wa 85% - 90%. • Uzalishaji wa Mayai kwa Siku: 475 (kuku)x 90% (lay lntensity)= Mayai 427 gawanya kwa mqyai 30 ya trei moja utapata (Takriban Kreti 14 kwa siku). • Mapato kwa Mwezi: Kreti 14 x Siku 30 x Sh 9,000 (bei ya sasa) = Sh 3,780,000 Gharama za Uendeshaji kwa Mwezi (Operating Expenses): • Chakula (Layers Mash): Kuku mmoja hula 120g kwa siku.gawanya kwa 1000 iwe 0.12kg • Jumla kwa mwezi: 475 (ldadi ya kuku)x 0.12kg (chakula kwa kuku 1)x 30 (siku)= 1,710kg (Mifuko 34). • Gharama (Sh 80,000(bei ya chakula) x 34): Sh 2,720,000 • Dawa/Vitamini na Maji: Sh 100,000 Faida Safi kwa Mwezi: Sh 3,780,000 - Sh 2,820,000 = Sh 960,000 3. Tathmini ya Kitaalamu na Kimahesabu (Economic Analysis) • Payback Period (Muda wa Kurudisha Mtaji): Mtaji wa ukuzaji ulikuwa Sh 8,050,000. Ukigawa kwa faida ya mwezi (Sh 960,000), itakuchukua takriban miezi 8.4 ya utagaji kurudisha fedha zako zote ulizotumia kukuza kuku. • Residual Value (Thamani ya Masalia): Baada ya mwaka mmoja na nusu, utawauza kuku ili ulete stock mpya • 450 x Sh 10,000 = Sh 4,500,000. Hii ni faida ya ziada ya mkupuo (Bonus) ambayo kuku wa nyama hawana. 👉🏻KUKU WA NYAMA: Gharama za Uzalishaji (Variable Costs) Hizi ni gharama za moja kwa moja zinazohitajika ili kuku wafike sokoni ndani ya wiki 4 mpaka 6. • Vifaranga: Vifaranga 500 (kwa bei ya Sh 1,800 @ 1) = Sh 900,000 • Chakula (Feed): Kuku mmoja hula wastani wa kilo 4 mpaka kufikia uzito wa sokoni (kilo 1.5 - 2). • Jumla ya chakula: 500 x 4kg = 2,000kg (Mifuko 40 ya kilo 50). • Bei ya mfuko (wastani): Sh 85,000 x 40 = Sh 3,400,000 • Dawa na Chanjo: (Gumboro, New Castle, Vitamini na usafiri) = Sh 150,000 • Maji, Mkaa (Brooding) na Umeme: = Sh 100,000 • Gharama za Ziada (Dharura): = Sh 50,000 Jumla Kuu ya Gharama: Sh 4,600,000 2. Uchambuzi wa Mapato (Revenue) Tuchukulie kiwango cha vifo (Mortality Rate) ni 5% (wastani wa kitaalamu kwa usimamizi mzuri). Utasalia na kuku 475. • Mauzo ya Kuku: Kuku 475 x Sh 12,000 (Bei ya soko kwa kuku wa kilo 1.5 - 2) = Sh 5,700,000 • Mauzo ya Mbolea: Mifuko takriban 20 x Sh 3,000 = Sh 60,000 Jumla ya Mapato: Sh 5,760,000 3. Tathmini ya Kiuchumi na Kimahesabu (Profitability) Kwa kutumia fomula ya Net Profit (P = R - C 👉🏻Jumla ya mapato (revenue)-Jumla ya gharama=Faida 5760000-4600000=1160000(Faida) Return on lnvestment 1160000/4600000x100=25.2%(Tsh252) Hii inamaanisha kwa kila Sh 1,000 unayowekeza, unarudisha Sh 252 kama faida ndani ya mwezi mmoja na nusu NB:Hii ni mifano tuu jamani unaweza usiwe na uhalisia wa soko ila yapi maoni yako kulingana na uchambuzi huu?? #chickenfarming #broiler #layers #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

About