@foodloverstz: Wapenzi, tuongeze maarifa hapa. mna Zifahamu aina za vitunguu maji na kazi zake 📍 Lakini pamoja na yote haya, ni ruksa kutumia kitunguu chochote popote unapoona wewe inakufaa, naelewa kuna maeneo vitunguu hua vinakuwepo aina moja tu na si rahisi kupata vingine. Halafu mtag rafiki yako ambae kitunguu aina moja anatumia kwa kila kitu jikoni 😁 aje kuongeza ujuzi. #mapishi #cooking #hacks #FoodLover #FoodTok #foodies #tiktokchef #foodloverstz
foodlovers.tz
Region: TZ
Friday 20 October 2023 12:15:58 GMT
Music
Download
Comments
Veloraluxe :
I wish uje uelezee species na namna ya kutumia🥰
2023-10-20 12:23:24
17
kanzu_na_jilbab :
kitunguu cha mwanzo kinaliza atar 😅
2023-10-20 23:17:31
8
user1263440784379 :
nice
2023-10-22 19:47:37
1
Sleeping beauty 💕 :
shukran dear
2023-10-20 12:37:38
2
jescarlema :
duh me hata nilikuwa sijui tofauti zote hizo me nishazoeaga hicho cha kwanza tu 😁😁😁
2023-10-22 07:51:26
3
stacymelsin0 :
Thanks dear 🙏
2023-10-20 17:17:06
1
D'eva :
the kenyan in me:kitunguu ni kitunguu🤣
2023-10-21 13:10:37
7
nasteho217 :
shukran sana 🥰🥰🥰
2023-10-21 10:24:23
1
winnie :
wow thanks ccy❤️😂
2024-01-06 14:49:43
0
Stente Matafu :
Thank youuu 🥰🥰🥰
2023-11-15 07:23:39
0
Lourah lishe bora🇹🇿 :
Sasa ivyo ambavyo vinaanza kuota si mpaka uwe na kitalu chako nyumbani maybe 🙈
2024-06-10 18:16:08
1
Mary Castro :
jamani nilikuwa nachanganya mpaka najicheka hapa😂😂😂😂😂😂
2023-10-21 08:48:30
1
user690325612772 :
mashaallah
2023-10-26 19:11:55
0
M.O.E.T.🦋🥀 :
yaani natamani sana kuonja chakula chako 🥺👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽🥰
2023-10-25 13:20:37
1
Chacha :
wow, asante sana mama♥️
2023-10-20 14:58:02
1
minah :
kweli kabisa
2023-10-20 14:18:39
1
user2835109838161Erenest :
da nllikuwa sijui asante
2023-11-16 10:39:16
0
clavykimaro :
wow
2023-11-18 15:53:07
0
fc💕 :
🧡💙
2023-10-20 17:08:58
2
user9978169963934 :
🥰🥰🥰
2023-10-20 12:25:30
2
hawambilinyi1 :
🥰🥰🥰
2023-10-21 15:13:25
1
EddyP :
♥️♥️♥️
2023-10-20 17:19:36
1
monamo :
😁
2026-07-11 14:57:45
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.