@chomozatv: Tega sikio lako kusikiliza ujumbe huu mzito kutoka kwa mtumishi wa Mungu Mwl. Dkt. Ellie. Kwenu wanaume na wanawake ambao kila mtu ajatambua nafasi yake na namna anavyosomeka. Ni kheri kuyafahamu haya mapema na ukayafanya kuwa taadhari ili yasipoteze uchanya wako. Unaweza kujifunza somo hili kwa urefu zaidi Kupitia Chomoza Tv 📺 YouTube. Tuambie hapa chini nini umejifunza Kupitia ujumbe huu kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dkt. Ellie ( ✍️ chomozanews. ) #tunafanyakwaajiliyamungu #hatufanyikwajiliyawanadamu

chomozatv
chomozatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 October 2023 12:00:09 GMT
165379
4886
85
1338

Music

Download

Comments

qute_naa0
qute_naah🍃🍒 :
🤣🤣🤣iv kama mmoja tuuu ni hatar je wale kina mpari inakuwaje
2023-10-24 08:11:33
10
machemba83
machemba83 :
Wasio jua mafundisho kama haya huwa wanapuuzua uishi saaanaa baba
2023-10-23 13:08:17
7
user19227379852777
user1922737985277 :
jamani ume ingilia wanawake zaidi🥺
2023-11-03 16:47:13
5
user123645900
Sharifa Suleiman621 :
Bora kaka tueleze kweli.... Danger
2023-11-03 14:32:31
3
mzazimercy
MZAZI MERCY :
hekima nzito tena saana 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
2023-10-24 09:28:08
5
99rameck
Rameck :
tumeambiwa ninyokahao rakin tunajifanya.hatuoni
2024-06-26 21:42:17
1
max.hai
Maxhai🦋 :
whozu akizeeka atafanana na huyu jamaa
2023-11-06 21:23:21
1
jacklinemlay0
Jackline Mlay :
waambie baba yangu
2023-10-25 12:08:51
2
mohamedzuber5622
Mohamed Zuber :
mungu akupe maisha marefu sana..nainjoy sana darasa lako
2023-12-04 19:01:29
1
mackyzabby
macky :
we unaogopa wanawake nini?
2023-11-21 13:45:55
1
mr.dee91_
abdallah kambangwa :
hayo unayoyasema huwaunayatoa wapi
2023-11-04 09:28:08
1
berthashushuda0
berthashushuda :
Waaambieeeee
2023-11-13 07:41:52
1
lifemajorz
BG :
Taa zimeharibikia kwenye Nyekundu Gari haziendi 😂😂😂
2023-11-17 10:05:27
1
harrisonpainter1
Harrison 🙏 :
Mungu akubariki babu uko juu sana
2023-11-05 21:19:47
1
ngupal001
HONEY 🦡 BADGER :
hapo kweli
2023-10-25 17:12:54
0
mbilinyisailoni
mbilinyisailoni :
Asante sana 🙏🙏🙏
2023-10-24 05:55:51
4
lepiro.rapoi
Lepiro Rapoi :
sure
2023-11-04 09:56:56
3
fraitonmkota
princess fraiton :
20/20 nalipa kwa wakat
2026-04-15 08:42:14
0
wendykomba3372
CAPIT J... :
WEWE NI MWALIMU WANGU MZURI MNOOOO
2023-11-07 14:57:07
0
stelabrent1
stelabrent1 :
wanaomuelewa huyu baba gonga like
2023-10-23 15:47:53
138
user5632552950344
Hellen :
nakupenda 💕 sasa baba MUNGU akubaliki sana umenisaidia sana ninahushuhuda namuamini nimungu ipo siku nitasimama mazabahuni niseme MUNGU akulinde☺️
2023-10-23 12:14:50
18
user4148103129567
niphacla :
tena hawajui kwanza mwanamke kaumbwa kwa nyama wala si udongo
2023-10-23 20:39:20
5
lucyboniphace5
lucybitogwa :
wambie mtumishi mana wanapenda sana kujizima data
2023-11-03 08:28:50
3
irenemboya0
Irene Mboya :
unapapasa tu ukiwa umelewa
2023-11-01 09:32:26
3
user6579971041025
user6579971041025 :
follow
2023-11-04 19:55:13
2
lillycute887
user6938265127549 :
teheee
2023-11-07 08:00:46
2
josfine75
Josephine Ingram758 :
they say" mwanamke ni just sex toy baba..
2023-10-25 17:01:37
2
meshackjoshua7
minister meshack :
sure
2023-10-25 05:24:08
2
denis.tbaijuka
Denis Tbaijuka :
ndio
2023-10-24 18:16:35
2
vayolet322
user85992201569721 :
wambie ukweli
2023-11-21 00:53:53
1
bahatii1
Bahati1 :
Mungu wangu Wewe wa juwa 😭😭😭😭👏👏👏
2023-11-17 04:06:09
1
queenmery270
mariamushy111 :
Mshauri naomba maongezi na ww private Ata kwa simu please
2023-11-21 18:06:26
1
user4686394176272
Racheljoe :
NDo maana ata kwenye biblia mmeambiwa muish na wanawake kwa akil 😂😂
2023-11-05 04:18:44
1
kirobotoelectronics
kiroboto :
kwer mungu akujalie mwisho mwema
2023-11-05 17:55:23
1
university9918
MAJINUNI :
pita hivi mtu katoka ubavuni kwangu utaniambia nini🤐
2023-10-24 23:24:08
1
tharishmswahili
Tharishi :
MIMI NDIO NIMESHIDWA KABISA KUISHI NA HIVI VIUMBE
2023-11-01 16:11:56
1
insntadonimkinga10
donimkinga10 :
nakupenda ila sekta ya wanawake sijaelewa
2023-11-03 20:51:49
1
lusato05
lusato05 :
Mungu akutunze sana mzee vizaz vijavyo vitambue mambo yalivyo pia
2023-11-03 15:00:58
1
exopplutnum
Exo :
kweli kabisa
2023-11-16 21:15:35
0
jumabohar
Juma Bohar :
😂😂😂😂😂
2023-11-14 14:11:16
0
user67746507119512
[email protected] :
mmmmmmm
2023-10-30 04:46:45
0
consolataedward
Consolata Edward :
nikwel
2023-10-28 17:26:38
0
user5619942605959
irene :
🥰
2023-11-18 07:41:46
0
anothersexy
A. S. Tz :
Mimi kama msemaji wa wanaumee. AKUNA KUPENDA APA NIKUTAMAN AKIZINGUA UNATAMAN MWINGINE.SASAA msela jichanganye penda ndio ujue mwanamkee ni nani😂😂
2023-10-26 15:34:00
0
user2425969561219
user2425969561219 :
bado hujasema
2023-11-21 06:47:45
0
marrymdumah
marry :
Amina baba
2023-10-25 17:36:50
0
zainabadam27
Mom Ayman ❤️ :
very true
2023-11-21 16:08:10
0
alice.france5
Alice France :
sure
2023-11-23 10:06:45
0
cheru386
cheru :
true ❤️
2023-11-26 17:35:26
0
joelorare
JOE :
😂😂😂😂
2023-11-28 13:51:08
0
user4130844060317aksa
user4130844060317 :
kweli kabisa
2023-10-25 17:11:57
0
official_saraalice
Sara♎️⚖️ :
🙏🙏🙏
2024-01-21 18:42:53
0
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About