@trtafrikasw: Ugonjwa wa kisukari ni nini? Je unajua kupata kisukari au diabetes ni rahisi sana? Kisukari au Diabetes ni ugonjwa ambao siku hizi umekuwa ukisikika mara kwa mara. Unaweza kusababisha upofu, figo kushindwa kufanya kazi, kupata mshtuko wa moyo, kiharusi au stroke na hata unaweza hata kusababisha mtu kukatwa viungo vya mwili.