Hii movie niliona nikiwa primary saa hii niko 38yrs Wema anasema ako 35yrs😂
2025-02-12 14:08:18
391
Salyne Bushnell :
this was part of a movie she did with kanumba
2026-06-13 16:00:51
7
Arabellaherself♥️♥️♥️ :
The point of no return. Bongo movie ya legend kanumba na wema😂
2023-11-06 07:44:51
24
winnie :
Ee mungu mbariki wemasepetu apate watoto mapacha Ameni🙏
2024-10-21 19:39:47
313
Liz Muia :
Hata kama ni move, kuna kitu MUNGU ameweka ndani yake ya kiungu,bado anaeza mtumikia Mungu,ya ndunia yana mwisho, but ya MUNGU NI YA MILELE 🙏🙏🙏🙏🙏wagapi mnaona kama mimi nione,kwa ishara ya mkono juu🤚
2025-12-21 20:06:48
9
Aggy😘 :
msaidie apate mtoto msamahe YESU wangu🙏
2025-04-01 15:56:27
11
Ray-loveness :
Azam wangekuwa wanatuwekea hizi move wangepungukiwa nini
2025-01-16 08:28:33
75
quite molel♥️♥️ :
mungu naomba umfungue tumbo lake la uzazi amen
2025-08-19 14:58:48
13
Christinna K. :
When movies were movies🥺
2024-09-09 17:56:13
90
snikha :
movie zao zilikua poa sana I remember those days
2026-06-13 18:14:49
9
madam G beauty💄 :
2025 atakuwa mamq🙏
2024-12-19 19:00:07
10
Sinzo :
Wema ana sauti nzuri na beautiful.
2024-09-21 13:28:15
26
Mariam Seleman :
mmeona mavazi ya enzi hizo kanisani achana na sass Bible ndo zinatumika kufunika mapaja 😏😏😏
2025-08-10 16:48:35
6
glowangelz :
I miss Kanumba, since his passing I’ve never seen a good bongo movie, I stopped watching long time 😩
2026-04-03 10:10:47
1
Gee" dav :
eeh Mungu uketie mahali pa juu mahali patakatifu tunakushukru kwa yote kupitia hii sifa mpe mtoto kila mwanamke mwenye uhitaji fungua tumbo la kila mwanamke ukaliguse kwa dam yako inanayo mema.Amen
2024-10-18 09:10:41
34
jibana lady :
Mungu ahimidiwe kw kweli kwan aliyotenda kwako wema n muujiza ahimidiwe kw kukubariki na mtoto baada ya kusubiri kw muda mrefu finally God has done Wonder 🙏🙏🙏
2026-06-13 15:26:38
5
mum hillel 🥰💝 :
a point of no return nikiwa class 6 sai nko n 27 wema alikua anaitwa asteria
2025-04-30 11:08:00
26
user90838380015 :
Daah enzi hizo naangalia hii movie nliona kama watu wametupia lkn nashangaa leo et naona wamevaa mabwanga..🤔daah ila zamani 😂
2025-05-22 12:38:51
29
Tamasha💜💜💜 :
hii ni movie ilikua poa sana
2024-08-27 15:11:02
92
rosee :
yesu naomba umpe uyo dada mtoto msamehe pale alipokukosea kwa kuwaza kwa kunena ama kwa kutenda