@focustvtz: D Voice ambaye ni Msanii Mpya WCB aliwahi kufunguka akisema kuwa Wasanii wengi wa Singeli hawajasoma kwamba wengi wameishia darasa la tatu, la nne, la saba na form two .... Ambapo alijitaja yeye kuwa ndiye msanii pekee wa Singeli aliyesoma kuliko wasanii wote wa Singeli Tanzania. Alipoulizwa ameishia level gani ya Elimu.... D Voice alisema kuwa yeye kaishia kidato cha Tano. 😎🖐 Video hii ni ya Mwaka 2022 kutoka katika kipindi cha Refresh Wasafi TV. 📷 : @wasafitv #focusdigitotv

Focus TV Tanzania
Focus TV Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 November 2023 15:24:41 GMT
9614
276
3
3

Music

Download

Comments

m2makinikikubwadua
m2makinikikubwadua :
unamjua matupa 45 wewe
2026-03-03 00:51:00
0
neema4124
neema :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2023-11-22 18:14:06
0
warda.kidoti9
warda kidoti9 :
mhmh mmmmmh
2023-11-22 15:57:14
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About