@timakirito1: #foryou #fyp #tiktok #wanawake hapo unga 500g,sukar 400g,siag 400g mayai 7,8,b.p 2tbs,flavor 2 tbsp, maziw 100ml nawapenda wanafunz wngu🥰.excuse my voice🤣
Mati_mamy
Region: TZ
Friday 24 November 2023 09:39:57 GMT
Music
Download
Comments
Greenlight F :
Baking powder Sio soda🤣
2023-11-25 15:21:56
32
goodluck :
dada mimi cake nkipik znapanda saf half znashukaa kwann
2023-11-25 04:10:22
4
user4007388270016 :
mbona mm nikipika inatokaa ya njano ndani sio nyeupe kwnn??
2025-06-29 15:48:20
9
ROSEY_(RJ)🇹🇿 :
hivi vipimo unakua unapimia na nini pls ?
2026-09-28 13:53:18
0
Zena Sharif@ :
mamy nikipika inakua kama ugali yaani haichambuki sijui nafeli wapi,
2025-09-16 13:08:11
1
🎀JÜJÜBIES🎀 :
kwhyo kumbe jiko linatakiwa liwe la moto tayar eeh ? how come nimeharibu asubuhi🤣
2026-08-07 16:28:41
2
P smile 😘❤️🧚♀️💝💫 :
nakupenda bule sio mbinafsi wengine utasikia lipia ndio ujifunze wananikwazaga sana
2023-11-24 10:58:49
19
TAMARA🇹🇿🇫🇷 :
Zilitaka kuungua 😅
2023-11-24 13:15:47
1
Orbit Grooves 🪩 :
Muda wa kubeki hujasema jamani😭
2024-02-06 18:12:18
0
👌mina👇 :
Naomba kuliza ivi rice cooker inapikiwaga na cake 🤔🤔
2025-04-30 13:39:35
0
zanihyaah 1 :
kwann yai mojamoja
2023-11-25 19:11:35
2
hope 🙏🙏💞 :
ivi Amira wanaweka😂😂
2026-02-05 10:50:42
0
Misi construction co.ltd :
mayai umeweka mangapi sweetheart
2023-11-25 09:23:36
0
tracywilly :
MI Nina swali Ivi kwenye keki Hamna kuweka amila??
2023-11-28 14:24:48
1
Vero _ outfit :
Kma sina ilo la kuzungushia ?
2024-02-11 10:45:33
1
aynab salum :
Keki ina bekiwa kwa mda wa dakika 45 kwa moto wa 150 hadi 180🥰
2023-11-24 22:36:36
1
vaneyley :
umepata followers dada mimi nikiwa mmojawapo...shukran kwa darasa
2023-11-28 15:26:35
0
anethherman275 :
jaman cjui kabisa kupika keki nataman sana nijue
2023-12-08 16:08:42
1
florah697 :
mayai mangapi?
2023-11-24 15:41:29
0
Gee" dav :
maziwa yale pakiti vp yawezekana
2025-03-29 10:47:38
0
Happy jengo Jengo :
naomba nisaidie kitu dear mi nikipika zinapasuka je nifanye isipasuke
2023-11-25 12:07:01
3
zuleikha ally :
hiv mamy hiyo mixer unaeza kandia unga km wa mandaz ama wa chapati??
2023-11-24 13:34:21
3
It’s Gladden💜🦋 :
siyo soda ni barking powder🤣🤣
2023-11-24 10:42:33
0
Fifi luxe collection✨ :
Hyo mixer umenunua wap na shngp diha
2025-03-12 08:49:59
0
leylar 🫧 :
ulikuwag wap my lv 😳🥰
2023-11-24 13:50:39
2
To see more videos from user @timakirito1, please go to the Tikwm
homepage.