@seif_afyapoint: Shango au vaginal yeast infection ni maambukizi ya kawaida ya fangasi kwenye sehemu za siri. Ni tatizo la afya linalowaathiri wanawake mara nyingi, lakini wanaume pia wanaweza kuupata. #african_health_care #fypシ゚viral #pregnant🤰 #shango #yeastinfection #pid #uti #fungus #