@tz_wired: semaji la simba Ahmed ally akiimba na kucheza na mashabiki wa simba katika uwanja wa azam complex baada ya timu ya wanawake ya simba queens kutwaa ubingwa wa shirikisho #simbasportsclub #simbaqueens #ligikuu #yanga #shirikisho #azamfc #azamtv