twaayibii mashaallah mashaallah 🥰Allah akuhifadh asante kwa ukumbusho🥰🥰🥰😇😇😇😅😅😅😅
2025-03-27 07:44:50
0
its.suphie :
😁😁😁
2025-07-13 14:55:03
0
hamud.znz :
Shekh wangu ni mfasaha sana masha allah, Allah ampe misha marefu yenye kheri atufundishe
2023-12-23 15:51:10
25
NASSOR :
Sheikh mselem ninavyo mpenda mpaka naona haya cijatoa. jina lake Kwa mwanangu wa kiume
2023-12-23 09:06:46
24
ümüť_ɓañğ :
Subhana Allah ربنا آتنا في الدنيا حسنة وفي الآخرة حسنة وقنا عذاب النار آمين يارب العالمين
2023-12-23 08:57:09
15
Abuusalha sama :
Allha ampe afya njema shekh wetu azidi kutuzindua nampenda shekh kwajili ya allah
2023-12-24 04:29:07
15
subira :
mie napenda mana unafahamisha vizuuri nafahamu vizuri
2023-12-23 15:03:59
15
Max Mody380 :
Jazaka'Allah ul kheir
2023-12-23 08:57:05
14
khatibjumamakamem :
Thank a lot shekh Mselem Allah grant you Jannah and direct us in a better way. Ammin🤲
2024-02-03 11:22:08
14
rahimsalumkhatib :
mashaallah God bless you
2024-01-01 04:01:43
10
جزيرة الحضرواء :
sijui niseme nn kuhusu sheikh wangu mpenz dah mungu amjalie kila jema hapa dunian na huko akhera
2023-12-24 18:32:51
8
RETURN TO ALLAH! :
Allah atupe kilicho bora zaidi...
2023-12-25 19:10:22
6
Luqman :
Yaani ilikua ni hasara kwa waislam huyu sheikh kuwekwa ndani miaka mingi. Allah amlipe mema mama Samia
2023-12-23 15:47:39
6
Yusuph Abdallah Yusuph :
kwenye kufata utaratibu wa Allah hapo ndo wengi tumafeli...hata ibada tuzifanyazo huwa hatufati utaratibu wa Allah,tumeongeza mambo mengi katika dini
2023-12-24 00:01:33
5
KAZI & SALA {Home Finishing}🏡 :
Jazaakallahu Khayrah Shekh wetu. Allah Atujaalie MWISHO MWEMA
2023-12-23 20:19:27
5
MAALIM UTHMAAN :
jazakallah khyran kathiira
2024-01-02 06:34:04
5
MR.heles :
huyu ni jamaa ana level nyengne
2023-12-26 06:46:26
4
Abdukarimu Muhammad🇺🇸 :
Shukran ❤️❤️
2023-12-23 20:42:59
4
mtabe :
Kama ingekuwa mashekhe wote kama Sheikh mselem anaelimisha kwa ufasaha basi kungekuwa hakuna ugomvi kwa mashekhe kulumbana
2023-12-23 20:05:22
4
مريم :
yeah that's true masha Allah ❤️❤️❤️🤲🤲🤲
2023-12-27 23:50:46
4
tech web101 :
hii imenigusa ma sha Allah
2023-12-25 16:38:03
4
mein19 kampf :
navutiwa sana na da'awa zako ustadh mselem aswa kwa visa vilivyokuwa kabla ya bwana na baada ya mtume.
2023-12-27 18:54:18
3
عبد الله بن جمعة :
allha akujaalie mwisho mwema shehe wet maalim wet
2023-12-24 02:33:33
3
HajiSija :
Allah akbar
2023-12-26 19:55:13
3
DEFYE KÍSHUBÀKA :
Allah huma bariki
2023-12-23 08:53:58
3
khash :
Sheikhselem Allah akupe riii mrefuuu
2023-12-23 18:37:22
3
Harith Moh'd :
sheikh Mselem Bin Ali nakupenda sana nakuomb siku moja inshaallah nikirud safar yang inshaallah sik moja ikifika uje uniozeshe mke nayapend san mawaidha yak najifunza kupitia wew Allah akueke salam