am from England i don't understand this language but huyu mtu anaongea pointi
😂😂
2024-01-11 19:51:10
16
sayukitztv :
Baba kingine mungu hana dini wala dhehebu.
2024-01-08 14:03:43
7
SmartTechCars :
Very very nice and good point.nasemaga kila siku hizi mambo.
2024-01-08 02:46:42
48
awadh P2kila :
na mijitu imefungwa akili mpaka Leo hayajazinduka juu ya hizi dini zao
2024-01-07 22:41:28
25
SHARK 🦈 :
kaka naomba nikuone aisee we jamaa ni great thinker
2024-01-07 22:37:24
39
Jons :
kwani vina mda basi,ulimi ni kiungo kidogo sana,na haufuguki,kwaiyo wewe unamuombaga nani,MUNGU YUPO ck yaja,😭😭😭😭
2024-01-09 13:39:13
2
Ezek mtumish :
yani wewe unaakili kupita viongzi wa serikali wanaotoa vibari vya dini pia unaitukana serikali kwa nini unavunja sheria ya nchi? acha kutukana watu
2024-03-28 18:41:19
2
Baron🍷 :
hapo kwenye kuhiji sasa ndo tuache haikuusu weee ongelea uwo ukristo oky
2024-03-27 10:50:32
1
mwafrika :
wewe unapoteza watu
2024-03-29 19:42:13
1
peace face :
Ila kama Kuna ukweli apa Ila bila dd2 huwez kuelewa
2024-05-30 13:25:38
2
Black Masiah :
sasa mtangazaji tunakutaka uende suji ili hi tv ikue na watu waelewe kinachoendelea leo na kilikoanzia
2024-03-31 08:18:59
1
Ben Thomas :
halina akili hili
2024-03-30 06:13:44
1
MUZIKI :
muda huo wamefumgwa kwenye biblia ambayo wameandikiwa na mzungu leo kila jambo utasikia biblia inasema muulize yeye anasema nini hamna kitu wanaibiwa tuu
2024-03-27 21:13:24
2
kapunje :
safi sana mkuu kumbe tupo wengi tunaojia kua dini ni uongoo
2024-06-02 12:51:37
1
Domingoz Bobo007 :
njoi kwa uiSlaam ww pimbii! 🤣🤣
2024-04-07 12:50:18
1
mkushi :
JAH BLESS
2024-04-03 14:09:15
2
sayukitztv :
Its true this is what we call awekening.
2024-01-08 14:02:48
19
Ezek mtumish :
jaribu kutukana dini ya uislamu nikuone kama utaendele hayo majigambo yako wewe ulisha muasi yesu utaenda wapi kama sio una shetani
2024-03-28 18:41:39
1
Mr James the contractor :
sure.... very true 💯
2024-04-03 10:31:05
3
Ezek mtumish :
acha wewe kutukana ubiri na wewe upige hela tuone apo ndo nitakuamini kuwa unasema ukweli sio unatukana tu au una laana ndo maana unatukana
2024-03-28 18:31:08
1
Theo :
SEMA FACT UNAJUA WEWE UNACHOKIONGEA NI UPUMBAVU, HIVI UNAJUA UNAFANYA REASONING NA MAISHA YAKO NI YA HOVYO KABISA ONGEA FACT BILA KUTUKANA WATU
2024-03-30 06:26:33
1
acrojamali msenegal :
dogo dini zimeletwa na manabii. ila sasa hayo madhehebu mmefanya ndio dini watu wanaleta agendazao kutumia dini hozo hizo
2024-04-01 06:36:29
1
Mr Right. Enki :
Kweli. Wazungu na Waarabu walipiga sana Waafrika kulazimisha waingie kwenye dini. Ili waache asili zao. Watu sasa wanarudi tena
2024-01-23 15:37:12
1
Solomon :
Mimi ninachojua Mungu ndo ameshikilia uhai na baraka zangu, hayo mengine siyajui!
shetani ana mbinu nyingi tokea enzi.
2024-01-14 10:11:33
1
macheboy@45 :
sio din zote ww kenge
2024-03-30 08:58:30
1
To see more videos from user @wachokonozi, please go to the Tikwm
homepage.