@foodloverstz: Wapenzi, huu wali ni mzuri halafu mzuri tenaaa, mkiupika mtanipa feedbacks #utamuguaranteed Kupata nafasi ya kufanya biashara katika event ya @eatdrinkfestival wasiliana nami 0717 717836 ( Call / WhatsApp ) Darasa letu meal plan & budgeting linaanza leo jioni. Sio la kukosa. Ada ya kujiunga ni Tsh.11,000/= Complete class ukijoin unapata mafunzo yote. Lipa kwenda Tigopesa 0717 717836 jina Emiliana Pole. Kisha tuma msg WhatsApp kwa ajili ya uhakiki wa muamala wako. #rice #foodloverstz #recipes #Foodie
foodlovers.tz
Region: TZ
Wednesday 10 January 2024 09:14:52 GMT
Music
Download
Comments
dear :
mm naomba kujua kazi ya iyo staranise na inawekwa kwenye wali tuu au vyakula vingine pia
2024-01-10 15:39:39
1
Black ⚫ beauty 😍 heena :
hujmb
2026-03-13 14:28:34
0
Ummu Aisha :
maji baridi ama moto
2024-03-31 12:44:15
1
@official.mdee♡♡。 :
Hi, sorry sister nilikuw naomba utufundishe recipe ya urojo wa Zanzibar ni tam Sanaa😋.. please 🙏...
love all foodlovers❣️💯
2024-01-26 07:24:40
0
user1263440784379 :
nice food dear
2024-01-11 19:45:10
1
𝐿𝑖𝑙𝑖𝑎𝑛 :
samn dada nipo mkoani ataka niwe wakala wa mam sita
2024-04-02 11:35:10
0
furaha vyombo vizuri 🥰 :
I wish siku nile chakula chako maana naishia kumeza mate 😂😂
2024-05-23 12:33:45
0
user9736572547596 :
naomb jinsi ya kupika choroko😊
2024-01-10 09:35:02
0
mama nunu :
nakupenda maan unaeleza kiswal Hadi viongo untaja kiswal mungu akulipe
2024-03-19 08:03:56
0
Entertainer :
iyo zabibu kavu inauzwa wap
2024-06-26 16:56:46
0
Charkas la noirâtre :
kama hauna ile ya munazi sasa
2024-06-27 13:02:50
0
Victoria Mallya :
sufuria jmn
2024-02-29 14:29:24
0
user4176526877167 :
unaelekeza vizurii nakupenda buree
2024-01-14 09:10:32
0
Penina :
natamani siku 1 uelezèe viungo na kazi zake
2024-01-19 13:28:19
0
tinah tanah :
🥰🥰🥰🥰🥰 nakupenda unapika kiusaf dear hongera
2024-01-12 15:11:52
0
rebby_store1 :
Mwez watatu mwaka huu???
2024-02-26 09:44:29
0
Viry :
me nakupendaga tu jaman🥰
2024-01-12 16:34:51
0
user1263440784379 :
mwonekano mzur sana
2024-06-03 19:32:27
0
multibussiness :
Mashallah 🥰 hilo la kunifazia mchele umenunua wap na bei gan
2024-01-10 15:16:16
0
Dama :
wali wa chichi
2026-01-11 14:08:05
0
desert prince🥷🌟 :
nakupenda sana
2024-01-12 08:13:24
0
MelaninMuse🌸 :
@winnie
2024-01-10 12:04:54
1
Dina mahemba :
🙏🙏
2024-01-10 12:33:45
1
Roseee😍 :
😏
2025-12-14 16:34:23
0
vyombo bei poa :
@foodlovers.tz kwanini haumalizii mchele jamani unaubakiza uliobaki mi huwa natamani uumalizie 😳
2024-01-10 11:55:54
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.