@wasafi_media: WATOTO WA MADEBE BADO WADOGO SANA Mrembo / Muigizaji @chanuo_nchakali2 ambaye pia alikuwa mke wa muigizaji @madebelidai amemwaga machozi huku akimtaka baba wa watoto wake (Madebe) kuacha tabia ya kuwatajia bei kubwa wateja wanaomfuata ili aweze kupata kazi na kulea watoto wao ambao bado ni wadogo sana Chanuo ameyaeleza hayo akifanya mahojiano na #Mashamsham ambapo amefunguka mengi mazito 💻 & ✍️: @jam_afrika_tz | 🎥: @kangwemgale Cc: @didahshaibuofficial @idriskitaa @jumalokole_02 @ankali_mambi #mashamsham2024

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 January 2024 13:09:13 GMT
1775090
47537
2032
1312

Music

Download

Comments

edith68747
Edith❤ :
kamroge dada unalia nini😂😂😂
2024-01-18 18:17:16
332
luxurywamadola
LUXURY WA MADOLA ✨✨✨💰🇹🇿🇰🇪 :
kumbe madebe watupa motivation msenge sans
2024-01-18 20:18:59
309
dayana61378
Dayana :
madebe is typing and madumu is deleting
2024-01-18 20:10:53
88
zainabsonna
ZAINAB SONA :
Dada jitafute upyaaaaa acha a na media
2024-01-18 14:29:53
98
rickykal246
Clay :
We need to hear Madebe side and again this is wrong mambo yako ya ndani kuyaanika mitandaoni.
2024-01-19 09:08:54
19
moduez.republic
modueztitaniar :
ety nipake rang kucha nivae nipendeze nikalie wasafi FM 😂😂😂
2024-01-18 13:17:57
69
nai.faras
nai faras :
mhhh mbn walipo kuwa na raha hajaja kwenye Media alaf huyu si alikuwa muingiza wake
2024-01-18 15:48:59
14
cute_hilwa
ʂαɱყɾα" :
pole mapenzi mm nipo kwenye hii hali kama ww usilie roga mama
2024-01-18 14:06:21
16
it_aint_my_fault4
Scripted Tales :
huyu si ndo pili maboga au 😂😂
2024-01-18 13:40:04
9
milker02
MRS MADEVU 🥰🥰🫂 :
kwani uyu ajui waganga mbona analia sana kaaa
2024-01-18 16:01:22
20
user3790254886112
Rachel :
m ndo maana siwaamini wanaume wenye macho kama ya madebe
2024-01-18 14:13:07
12
user91718069659036
user91718069659036 :
pole sana dada ila wakina sisi tulia amua kufuta machozi na kulea wenyewe
2024-01-18 13:37:23
19
mulyafyangu
mulyafyangu :
kuanzia Leo nafuta movie zote za madebe mamae sijapenda kbs
2024-01-18 14:33:19
16
freshrose_wakala
Freshrose_wakala :
Madebe madako yako
2024-01-18 13:47:07
31
user7845836570092
เฮง เฮง :
Yan huyu kaka dahh hata huwez kumdhania
2024-01-18 13:58:28
10
user10556559777358
user10556559777358 :
acha kulia dada funga mkanda angalia maisha
2024-01-18 13:15:24
9
user7812437079279
user7812437079279 :
huu ni ukatili wa kijinsia jmn wanawake tunanyanyasika jmn 🤗😭😭😭😭😭😭
2024-01-18 14:11:25
5
naomimashak
naom mashak :
lamata jmn muonee huyo dada mashabik zake tupo bado msaidie mwanamke mwenzio jmn🥺🥺🥺
2024-01-18 17:51:55
9
user9488421354275chali
chaliiii💃💃 :
mbona mbaya iv madebe anamlilia iv libwata ilooooooooooo🤣🤣🤣🤣🤣
2024-01-19 08:37:11
57
madam.boss149
Madam boss ♥️ :
Yani yule mkaka khaaaaah amenishinda tabia
2024-01-18 16:57:02
26
shadyal94
mom f :
Pole dad
2024-01-19 17:36:32
5
hajrapascal
Hajra Pascal :
dadaa mfuate lulu white
2024-01-18 19:34:53
16
chabycutey
Chaby cutey :
pole san dada
2024-01-18 18:27:05
10
user5555981922534
bashiri2121 :
pole dada
2024-01-18 19:04:32
10
lucypita478
Lucy Pita :
pole dada chanuo
2024-01-18 17:28:04
14
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About