@joanfitness: Dumbbell Squat hold 🔥🔥 Inalenga mwili wote wa chini, chuchumaa kwa sekunde 30 kisha simama sekunde 10 na urudie hivi kwa dk 5 uipate fresh 🔥 #squatsworkout #glutesworkout #mazoezikwaafyanjema #mazoeziyahips #kuongezashepu #squat #mazoeziyamakalio #tiktokviral #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Joan fitness
Region: TZ
Friday 19 January 2024 13:49:33 GMT
Music
Download
Comments
Vee🦋 :
Mara ngap kwa siku
2024-01-19 14:46:34
6
Anipha kevine :
asubui pekee yake itasaidia
2024-10-13 05:06:39
0
Beatriceofficial :
DaJoan naomba vyakula vya kula ukianza mazoezi ya kujaza miguu kalio na hips
2024-02-12 07:24:17
4
successforever20 :
ni lazima utumie uzito wwte kwa kufanya ilo zoez
2024-06-21 17:52:17
3
Irene ❤️ :
Chuma kina kilo ngapi
2024-09-26 12:36:11
0
my chiomababy :
vyakula klnz
2024-04-19 17:13:03
0
naykhan🍓 :
hilo zoez ni la kupunguza mwili wa chini ama unakueje
2025-05-25 16:38:34
0
🥭🌸🅜🅐🅜🅤🅤🌹🍉 :
mnapatikana wapi jamn natamani kifanya mazoenzi
2024-10-23 03:50:38
0
Kavira_Michelline :
asante.coach.wangu
2024-03-27 11:22:43
0
marrykulaya :
😅😅😅 Mume wangu haeleweki bwana Mara stake mnene Mara mwembamba Mara mweupe Mara maji ya kunde 😏😏
2025-06-20 21:22:24
0
neima :
mabaja kubonyea bonuea
2026-07-11 14:00:00
0
treslinah :
😁
2025-05-14 10:07:10
0
pretty zuuh :
🥰
2025-06-22 18:44:25
0
Annah Boutique :
🥰🥰🥰
2024-11-28 07:40:34
0
Em, em 🌺 :
🥰
2024-12-24 03:58:06
0
rehemakandulu :
🥰🥰🥰
2025-04-07 05:28:29
0
Nuru Nureen :
😂
2025-01-16 16:29:01
0
Tinnathebosslady :
🥺
2025-01-10 22:40:49
0
neemamnzava :
mamy mazoez yamjamzito asizid uzito maan nishavuruga na diet huku
2024-01-19 14:41:31
1
Btty :
mic you mrembo
2024-09-07 16:17:48
1
To see more videos from user @joanfitness, please go to the Tikwm
homepage.