@zeyrish53: #mawaidhayakiislam #islamic Dua’a🤲🤲

Zeyrish53
Zeyrish53
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 January 2024 19:46:25 GMT
677134
22970
658
3723

Music

Download

Comments

fathammummy
Fatmafatma :
Laaillaha illa Allahu wahdahu laa sharikalahu lahul mulku walahul hamdu wa Huwa alaa qulli shain qadir..subnallah walhamdulillah walaaillaha illa Allah wallahu Akbar..walaa haula wala quwwata illa billahi
2025-08-20 16:28:35
90
mohamedfamau68
maradona kenya :
Asalam alaikum, wallahi hii dua ni mzuri sana,niko kwenye ndoa 10years, jamaa wasema sipati mtoto,niliomba mwezi mzima usiku,saa hii ni Baba, mungu alinijalia mtoto, Alhamdulillah,
2025-01-12 19:16:55
42
hanipher013
𝐻𝒶𝓃𝒾𝓅𝒽𝑒𝓇 ♌️✨️ :
je kama ndo umesilimu haujajua kuswali bado hunafanyaje
2024-10-09 20:32:07
14
user1374961261099
user1374961261099 :
Nashkur nikua na matatizo makubw baada ya kufanya ivo kwa mda wa wik tu Allah akaniondolea matatiz yang Alhamdullah msipuuze
2025-02-17 12:35:45
22
mohamohamed6955
moha MOHAMED :
ya raab Mimi mbea🤣
2025-06-11 15:12:37
12
ummusaeed_official
Da_Ushy :
yaa rabb niongeze katika hii duniya mpaka kesho yaumul ihsaab
2024-05-19 15:47:27
18
nimaa.330
Nimaa beauty :
Hii ni kwelii🥺 alhamdullilah nilisema shida yangu nikajibiwa🙏🙏
2025-03-15 02:28:52
12
amida20053
Amida2005 :
tunusulu sis waja wako ya allah
2026-03-08 21:07:43
1
nyamizi.hussein
Nyamizi Hussein :
shehe Mimi namba nitumie maneno hayo ninashida nayo sana samahani
2024-12-20 10:44:46
6
user2748509114323
zubeda :
kama hujui ka koswahili unasemaje
2024-09-24 18:57:43
6
mwame.a
Mwana :
wambea mpo😆😆😆
2025-08-04 07:08:18
0
user4991118139962
user4991118139962 :
asalaam alaykum, jazakallah khair
2024-09-01 16:12:32
4
rahmaiddi840
Rahma Iddi :
shukuran ahsant kipenz cha Allah Tabbarak Rahman 🤲
2024-12-18 09:25:36
0
fadhila.juma16
🦋 Mamy fadhila🦋 :
ameoa bira kumuanga mke
2026-03-04 23:58:43
1
missaoutfit
missa outfity 👜🎒 :
je kama ndo umesilimu haujajua kuswali bado hunafanyaje mimi sielewi naomba mnisaidie jaman😔😔
2026-04-01 23:53:22
1
samir.kiba6
samir kiba :
mbona mi sishtuk nanajuwa kusema ivyo au kwakuwa najuwa
2025-08-16 09:20:35
2
tfo.saleh
🇨🇩Tfo saleh🇨🇩 :
wallahi akuna kitu kizuri na kikubwa ku zaliwa mu islam
2024-11-04 12:41:36
4
humaira.karan
🕋🖤 :
Lailahailallah wahadahu lasshari llahu lahumulqu wallah hamdu wahadahu llasharikallahu🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2025-05-17 02:33:45
2
abubakarlbrahim64
[email protected] :
ya rabii
2025-10-10 01:00:17
1
reyka403
Reyka Ahmedi :
Yaa Allah tunakuomba utuongoze katk kher Aamiiin Allahummah Aaamiiin 🙏 pia tunakuomba utuwekee wepec kwenye maisha etii Aaamiin Allahummah Aaamiin🤲🙏
2025-06-28 21:19:11
2
noble_lady4
Noble_lady :
shegh mi na kawaida ya kushtuka hata nikiwa nime sinzia kidogo nashtuka bila ya sabuabu
2026-02-07 10:47:37
1
omary.ngoka
Omary Ngoka :
Aameen yarabbi
2024-12-14 10:25:46
3
swaumath.abdul
ummu :
amen
2024-07-20 14:43:53
1
abdullahramadhani6
NYUNDOMENN :
je kam huna udhu inakuaje?
2024-07-31 11:40:11
1
badra.ibrahim0
Badra Ibrahim :
🥰😍 mashallah
2025-05-25 07:54:32
1
To see more videos from user @zeyrish53, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About