@ahmadrubibi: Tundu Lissu Watu Ambao Wameuza Madini Ya Nchi Hii Walipitisha Sheria Kwenye Bunge Hili Hili #tanzaniatiktok #kenyantiktok #changetanzania #katibampya #fyp #viral
Lissu rudi Bungeni mchango wako utakua mkubwa sana kuliko Urais
2024-02-29 09:21:50
6
Odilo Magungu :
lissu ni mwamba nakukubali sanaaa
2024-01-30 18:15:48
9
Prince Amduni byarugaba :
nakupenda sana lisu
2024-02-22 15:05:36
7
HDM :
this opposition is so powerful TUNDU LISSU oooooooooyeh
2024-04-08 10:32:45
2
Funny ๐คฃ :
mwamba kbs
2024-02-21 19:27:48
6
user3284018765290 :
panapo kuwa na upinzani watu lazima waseme ukweli
2024-01-29 18:30:23
5
jr64nyambo1 :
mungu litazame taifa la tz amina ๐๐
2024-01-28 05:20:19
2
user6091607760242 :
iyo ilikua bomba sana
2024-01-29 20:04:29
4
Pm Co Ltd :
Tundu Lisu kichwa
2024-01-31 17:44:13
4
pesambili01 :
dah hili ndilo bunge
2024-02-26 20:30:57
4
mussanestorymchel :
Tuheshimiane, wala wasichagua na kukamata watu ambao hata hawajahusika๐ค๐ฟ๐๐ฏ๐ฒ๐ฉ๐ฒ๐ค๐ฟ
2024-02-28 05:56:02
3
billo kokotoooo :
mwamba kabisa
2024-02-19 14:42:26
1
Kevin :
Angepewa uwaziri huyu tungem equate huyu lissu na Magu hii nchi ingekuwa mbali sana lakn democracy ikawatenganisha that's really sad side of democracy โ โ โ โ ๐๐ฅ"''
2024-03-06 21:12:57
3
user4928007713989 :
magu alimaliza kazi na wazungu walipiga magoti
2024-02-13 19:30:53
2
Benjamin Buhele :
Bunge bora kabisa kuwahi kutokea๐๐๐ฅฐ
2025-12-07 21:42:26
1
Evodius Rudo :
Huyu jamaaa aludi bungeni tena ,tumemiss
2024-03-31 12:24:09
1
Frenk one :
waambie wamezid
2024-04-03 08:56:41
2
Msolopagazi :
huyu Mwamba namkubali, watanzania moeni uraisi
2025-10-30 13:04:53
1
Muslim๐ Africans TV๐บ :
Mda ukifika utaongea
2025-02-02 06:45:56
1
miggo blackpanther :
heche na lisu wakiludi apo ni balaa
2025-04-21 20:38:40
1
E white :
Where is this place??
2024-01-28 06:03:32
1
enzo :
aiseeee
2024-12-20 12:54:48
1
Edward :
Good ๐ point my friend ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
2026-07-21 15:44:21
0
paipo :
follow
2024-09-11 09:30:10
0
To see more videos from user @ahmadrubibi, please go to the Tikwm
homepage.