@khalid_072021: فجأة طلبتني لها .. بلا ميعاد : طول انتظاري حل حالي سببها ! #خالد_عبدالرحمن_عشق_فن_احساس #fypシ #fypシ゚viral # re_rr_8

احساس خالد عبدالرحمن
احساس خالد عبدالرحمن
Open In TikTok:
Region: SA
Monday 29 January 2024 13:45:14 GMT
930253
37366
0
7311

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @khalid_072021, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mtuhumiwa Stephane Ngoie, aliyekuwa akitafutwa kwa takribani miaka mitatu na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), amekamatwa na kurejeshwa nchini kwa ajili ya kujibu mashtaka yanayomkabili ya tuhuma za kutapeli Sh1.6 bilioni. Akizungumza Ijumaa Mei 22, 2026 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Kinondoni, Christian Nyakizee amesema mtuhumiwa huyo amerejeshwa nchini baada ya kukamatwa Uganda. Amesema Ngoie, ambaye anadaiwa kutumia jina la Thomas Maweja katika shughuli zake za kihalifu, anakabiliwa na mashtaka pamoja na wenzake sita, katika Shauri la Jinai namba 12/2023 linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa mujibu wa Nyakizee, washtakiwa hao wanakabiliwa na tuhuma za kughushi nyaraka, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji wa fedha haramu.
Mtuhumiwa Stephane Ngoie, aliyekuwa akitafutwa kwa takribani miaka mitatu na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), amekamatwa na kurejeshwa nchini kwa ajili ya kujibu mashtaka yanayomkabili ya tuhuma za kutapeli Sh1.6 bilioni. Akizungumza Ijumaa Mei 22, 2026 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Kinondoni, Christian Nyakizee amesema mtuhumiwa huyo amerejeshwa nchini baada ya kukamatwa Uganda. Amesema Ngoie, ambaye anadaiwa kutumia jina la Thomas Maweja katika shughuli zake za kihalifu, anakabiliwa na mashtaka pamoja na wenzake sita, katika Shauri la Jinai namba 12/2023 linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa mujibu wa Nyakizee, washtakiwa hao wanakabiliwa na tuhuma za kughushi nyaraka, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji wa fedha haramu. "Kwa pamoja, washtakiwa hao wanadaiwa kujipatia Dola za Marekani 678,810 (Sh1.6 bilioni) baada ya kampuni yao ya Steca Export Company Limited kuuza ‘tani 110 za madini ya shaba’ kwa kampuni ya nchini China iliyopo Shanghai. "Hata hivyo, badala ya kusafirisha madini hayo kadri ya makubaliano, washtakiwa hao walisafirisha kontena tano zilizokuwa zimejazwa chupa tupu za vinywaji vilivyotumika," amesema Nyakizee. Ameeleza kuwa Ngoie ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo, alikamatwa Aprili 2026 Entebbe nchini Uganda, baada ya kufuatiliwa kwa muda mrefu tangu mwaka 2023 alipotoroka Tanzania kukwepa uchunguzi na hatua za kisheria #ModcNews #ModcNewsUpdate

About