@sekundezaelimu: #Sekunde60zaelimu #SaikolojiaYaMwanamkeEp14 Katika mambo ambayo Mwanamke anayatarajia kwa Mume Wake ni Pamoja na Kudekezwa na Kushauriwa. Jambo hili Waume wengi wamekuwa wakilikwepa sasa kama Utalikwepa jambo hili ni lazima Ndoa yako itakuwa na Madhara haya........ Sheikh Shams elmi Obsiye kutoka Iringaa Tafadhali follow Account zetu hizi Uzidi kuelimika Na mafundisho sahihi ya Uislam @qiblatainfm @sekunde_60_zaelimu