@kitambo_sana: Dah...kitambo mno 1988 #zamanizakale #watuwazamani #kitambo #wahenga

Kitambo sana
Kitambo sana
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 February 2024 20:38:44 GMT
132492
2772
84
892

Music

Download

Comments

nassor.haji.muham
Nassor Haji MUHAMADI :
Nimefurahi sana kumsikia Mzanzibari mwezangu ambae kwa sasa ni mrehemu mungu azidi kumfanyia wepesi amin inshallah
2024-03-10 17:05:37
12
ahmad.singano
Ahmad Singano :
nataka niupate huuwimbo naupataje nisaidien
2024-02-27 08:23:12
4
majingeii0
veracity :
hahaahahaaa alooo ya kale ni dhahabu.
2024-02-26 18:01:27
1
baba..shuu
kaka Ras 🛺 :
aiseee zamni sn
2024-02-20 18:44:26
2
nassoresir5
h○m£B○Y. :
wajukuu zetu watakuja wajue mwaka uwo wachezaji walikua watumwa au wajerumani wenyeww 😂😂😂
2024-02-20 18:42:02
3
manshijajumaa4
Manshija Jumaa :
Haahaahaa haahaahaa daah kweli siku hazigandi J D alitukumbusha haahaahaa wachache sana 😇
2024-02-21 06:39:08
2
hap4niwapi
hapa ni wapi :
alafu utasikia "anakwenda kule goaaalllll"🤣🤣🤣🤣🤣
2024-03-12 20:25:51
1
latifah.dollah
tiffah Dollah :
dah baba angu alikuwa anafanya kazi radio Tanzania tunaenda kutuma Salam ALLAH akurehemu baba angu mzee dollah🤲
2024-03-14 07:44:50
3
mossesbarnabas
🇦🇴🇲🇿Mosses _sailor🇹🇿🇹🇿 :
Mohammed ahman kumbe marehem😭😭
2024-02-27 03:37:53
1
raphaelmheta
Raphael Mheta :
RTD RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM
2024-02-20 19:20:36
1
teacher.kuly
teacher kuly :
mm apo nina mwaka mmoja 😂😂
2024-02-21 19:10:15
1
llenyjaka
allenjaka :
mtangazaji sasa😂😂😂
2024-02-20 21:33:50
2
jackart_tz
jackjune :
dah nikisikia honcho kibeat cha violins napata feeling fulani hivi za kitaaambo😅
2024-02-20 20:16:44
2
abuuayman123
swaleh khamisy :
oya nyie oya nyie aiseee ni kitambo sana mnakusanyika kuskiliza na tv sizani kama zilikuwepo dadeki kipindi cha Heshima watoto wote tulikuw na heshima
2024-03-12 17:07:32
1
geopatwo
geopatwo :
Namkumbuka Ezekiel Malongo
2024-02-26 15:14:09
1
kingbizzo123
MR. TRY ⚽ :
Daaaaah ikipigwa ngoma kama hiyo mm najuw mda wa msos najisogeza sogeza yan so pw man😅😅😅😅
2024-02-21 00:02:19
1
mossesbarnabas
🇦🇴🇲🇿Mosses _sailor🇹🇿🇹🇿 :
daaa kitambo nipo na mwaka mmoja
2024-02-27 03:36:26
1
kimanidatch
kimani :
mbili kasorobo enzi hizo
2024-03-12 13:29:07
1
hibaharoub
hibaharoub :
mpemba kwa chai
2024-03-09 18:41:47
1
nr_collection26
nr_collection :
nimekumbuka mbali sana jaman, old is gold jaman
2024-02-08 23:37:01
1
usertregilipatz
TREGILIPA TZ 🇹🇿 :
nilizan baada ya hivyo vingoma mtangazaji atakuwa HASSAN MKUMBA
2024-02-20 13:05:55
1
user8254230607935
Malick_934 :
old is gold
2026-08-25 10:28:33
0
fetyfety21
Fetty 🦋🔐 :
beat ya hbr za michezo hiyoo🤗
2024-05-02 09:34:07
0
khalfan.sefu
Khalfan Sefu :
sana💯
2024-02-20 19:01:37
0
To see more videos from user @kitambo_sana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About