@kisamo_tv2:

KISAMO TV
KISAMO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 February 2024 10:09:11 GMT
38631
906
79
158

Music

Download

Comments

mohammed.amiri55
mudrick kweba :
Hivyo kipindi cha mzee wetu magufuli mkurugezi anapigiwa simu haraka hapeleke lipoti huyo mkurugezi anatokea iringa unategemeaje hapo.
2024-02-13 19:40:19
1
asamtz5
ASAMTz5 :
😭
2024-02-17 10:55:55
0
user6326271187935tizzo
Tizzo safari tower 🚌🚘 :
nyie mnaonea Sana madereva mnanynyasa Sana madereva nendeni mkakamate majambazi acheni kuonea madereva
2024-02-13 19:19:53
3
101010error5
user9402617114804 :
hata zima moto si dharura lakimbia lafika halina maji asa limeleta nn?
2024-02-13 11:38:38
2
user9240342123122
don't forget :
madereva wa serikali wengi wao wasenge sana
2024-02-14 13:57:00
2
salman.5663124808153
S@mi. Tz :
waambieni maan watu wananusurik kufa kisa uendeshaji wao m baya uo ni ujinga
2024-03-07 06:46:09
1
godyyy72
Gody adventure :
is true
2024-02-13 16:20:33
1
simonmartinmmbaga
simonmartinmmbaga :
nendakwenye mada nyingine kaka haohautayaweza kaka hioniserikal tangia hujaingia kwenyehio koz yako hayo magar yalikuwepo pole broo🤣🤣🤣
2024-02-14 20:31:46
1
brunozubery
brunozubery :
uko vizur Bora umesema manake hao stk cjui sm wanamwagika xana hapo road utafikir wamebeba magendo Leo STM nimemkuta pale vigwaza anapigwa faini
2024-02-22 18:31:23
0
user5413323189010
B12👍 :
Mpo sawaa na bajaji vp mbona amwaoniii?
2024-02-14 05:54:22
0
user5413323189010
B12👍 :
Jamanii wafikieni na madereva bajajii je mnawaogopa?
2024-02-14 05:55:51
0
manondo12
cash money 🤑 💸 :
swali ni je, kwenye mfumo wenu wa adhabu ama zile mashine za kutoza fain za barabarani hizo magari zipo? kama hazipo utawezaje kutoza fain gri la seri
2024-02-14 14:06:53
0
jumbe230
Jumbe... :
Afande kisu kimegusa mfupa..upo sahihi..wanyooshwe
2024-02-14 16:29:03
0
upcominactivist
SEIF KIBADEN :
fanyeni kipindi muondoke hapo serikali ina mambo mengi ya kufanya
2024-02-14 17:25:05
0
babajj45
Jokim Ltd. :
Nasi Tunasema Maboss Wetu Watawafikia Mtaona 🔥
2024-02-14 19:20:08
0
greatvacationsafari
Great Vacation and Safaris :
afadhali mmewaambia kwani vichwa vyao wengi ni nyumbu. wanakimbiaga ovyo, hawafuati sheria. Magari nane kupata ajali kwa mpigo, yule aliekamatwa tungi
2024-02-14 19:37:03
0
salehe.kazinja
Salehe Kazinja :
washamba sana hata katika matumizi ya taa usiku ukikuta taa zenyewe zimefungiwa booster utajuta
2024-02-14 20:13:20
0
usersalujuma
mosher :
🤣🤣
2024-02-13 23:59:23
0
ludajustine
ludajustine :
serekali inaongoza kwa kua namadereva wabovu
2024-03-03 12:42:28
0
user5678026518576
KANALLI :
hawajamanijeuri sana wana ovateck sehemu isiyo sahihi washstaa mchana usiki hawapunguzitaa anavateki kwenyekona wapumbavu sana mimi siwapendi
2024-03-04 19:23:47
0
user5678026518576
KANALLI :
mnatuonea sisituu kilasiku mnatupiga faini madele waselekali mnaangaliapembeni .
2024-03-04 19:28:22
0
user5678026518576
KANALLI :
Nyiemnawaogopa mbonahajawahi kuwakamataa?
2024-03-04 20:18:39
0
ikram_poppe
Ikram :
siyo baadhi yao ni wote tu
2024-03-05 14:55:15
0
josephdallushi7
Joseph dallush :
waraka pia wa viogozi mseme mbona polisi huyu hanyoki?
2024-03-05 17:03:06
0
sal__1987
Mpinga_aL Capone :
Tanzania hii hakuna mwenye ubavu wa kuligusa STK,STL,STM,DFP na mengine specifically nyie ASKARI wa USALAMA barabarani...yakivunja Sheria hua yanapita mbele zenu Kam hamzioni, acheni uongo huo.
2024-03-05 19:42:17
0
subzero4427
noobSaibot :
hapo kwny magar ya polisi fafanua ni yale yeny namba PT au hata private car ya police???
2024-03-05 20:29:18
0
cityobserver
City Observer :
Judge na UT vipi
2024-03-06 07:24:41
0
gideon.shija
Gideon shija :
hata gari la porisi ni gari la serikali acha ushamba
2024-03-15 18:23:00
0
allyallydeaf5
Ally Df :
sasa sheria watafuataje wakati munawachekea munawaona live wakivunja sheria lakin hamuwakamati
2024-03-27 06:47:38
0
aspen_mis
Smg Aspen :
pili fatilia traffic alioko barabara ya ukingia singida mjini yupo na gar leus anajigamba sana na kuthumu ajipa kifua sana
2024-02-13 13:13:53
0
prince_ujazo
ALVIN J.J 🗽 :
umeona gari ime over speed simamisha gari apigiwe boss wa gari aje dereva mwingine ,dereva alie over speed apelekwe sehemu apumzike
2024-02-13 11:19:37
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
ni kweli wanafujo sana hawaheshimu sheria
2024-02-13 11:23:53
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
ni aibu kubwa magari ya srekali yanaongoza kwa kuvunja sheria wao wanatakiwa kuwa mfano bora barabarani
2024-02-13 11:27:59
0
solomonkingu
solomonkingu :
ni kweli kabisa wapo rafu sana
2024-02-13 11:59:08
0
deniswilson33
deniswilson299 :
Bola mtangazaji umemlekebisha eti madereva wa serikali!!!! ubaguzi huu
2024-02-13 12:20:26
0
balozilyimo2022
Balozi Lyimo :
Sawa tatizo ni lini hatua zitaanza kuchukuliwa?!!!!
2024-02-13 12:25:54
0
moudykisengo
moudykisengo :
tena uakikishe huo usemi we trafic,,,mana hawa madereva sijui ni vichaa kidogo wakiwa barabaran
2024-02-13 12:30:46
0
jr64nyambo1
jr64nyambo1 :
good sms
2024-02-13 12:31:44
0
kimbwela_01.com0
Kimbwela_01.com :
huelew kitu ww et magari ya polis zima moto naagar ya jesh jeshi ni nn poois ni nn hovyooo
2024-02-13 12:46:04
0
kimbwela_01.com0
Kimbwela_01.com :
afu anae kupa mshahara ww ndio anae mlipa.uyo dereva msijion kama nyie kila kitu hovyoo
2024-02-13 12:47:24
0
aspen_mis
Smg Aspen :
hilo kweli kabisa ambulance and zima moto niukwekikabisa barabara ya kigoma kasulu wanaendesha gar vibaya awajali ata beria wanatharau beria
2024-02-13 13:11:37
0
user7174738192978
kahigi :
SM.STK.STM.DFPA.Is typing.......
2024-02-14 05:30:33
0
sadamissa118
sadam iss1 :
kabisa kaka leo sema hapo nipo sambamba nawewe kabisa tena ajar nyingi zinasababiswa na hao watu afande leo nimependa kwakuwa umeona hawa watu
2024-02-13 13:28:02
0
user498516046
user498516046 :
WAACHENI WAFE NA WAWE VILEMA KWA HASARA YA FAMILIA ZAO
2024-02-13 13:41:04
0
officialmu20
Mudrick :
tatizo siyo dereva na hayo magari vyombo vingi vya usalama wanatumia ata police wenyewe wanatumia namba hizo.
2024-02-13 15:35:34
0
godyyy72
Gody adventure :
lakini weee atakugonga kwakua yuko na stk
2024-02-13 16:20:51
0
enosmchomvu
Enos mchomvu :
Mm leo nimeshuhudia polisi Akipita na pikipik kwenye zebra na gar zimesimama nusu agonge watoto wa shule
2024-02-13 16:25:01
0
aronsuluba
Suluba :
Ata gari za police, zimamoto zote hizo ni gari za serikali
2024-02-13 17:58:31
0
user2993510260071
user2993510260071 :
aaaah ni kweli lakini serikali Kwa ujumla inafanya kazi Kwa dharula
2024-02-13 18:37:53
0
To see more videos from user @kisamo_tv2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About