@sabramachano: Chaguo ni lako 🤣🤣🤣 @husnachitoto haya maisha ni kubanana hamna kuchukuliana poa. #zanzibar #taarab #swahili #Love

sabramachano
sabramachano
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 February 2024 18:12:53 GMT
529424
12549
362
990

Music

Download

Comments

eunicmollel
eunice mollel :
Sasa izo buku buku ndo zakutuzwa mh!!!
2024-02-18 09:44:33
23
samarsamersamarsa
samarsamersamarsa :
🥺🥺🥺subhanallah Allah atuongoze sisi na vizazi vyetu.wanawake tahadharini tusiwe kuni za moto.
2024-02-18 06:13:31
30
user1531166161291
user1531166161291 :
halafu sabra anajifanya kutoa mawaidha ya Qur'an na kusoma twayibat Al asmai,,,,Una utani sana na dini wewe
2024-02-17 18:42:13
10
m100000000010
m10 :
Allah atupe mwisho mwema ila asijisahau sana sote ni mashahidi wa sisi kwa ss, record hizi zitabakia millele.
2024-02-17 19:17:19
18
user8366010811381
Hellen charles :
😂😂nishamla pilau miss you dad🙂
2024-02-18 17:47:58
9
rayah2051
Rayah❤❤ :
sasa ukipita na baba angu siutajuana na mama yangu🤣🤣🤣
2024-02-18 13:04:26
5
tangyi331
tangyi331 :
Vipi kama nishamlia pilau 😂😂😂
2024-02-18 18:57:25
5
mamrashdon
Rash Don Tz❤️🔐 :
Kwani Hapo Ajajistili Eeen Waja Ebu Punguzen Hukumu
2024-02-18 23:16:29
4
user8343748659486
chimamy samy :
nyimbo inaitwaje jamani nimeipenda bure
2024-02-18 21:34:35
4
ney_aubame
𝕮𝖆𝖘𝖘𝖎𝖊 ~𝖆𝖚𝖇𝖆𝖒𝖊 :
Aftatu😂😂😂😂💔
2024-02-18 20:23:35
7
user9027675959784
user9027675959784 :
😂😂😂 baba yangu hana tena nguvu ya kiume kila kitu kimelala 🤣🤣 sasa itakuaje
2024-02-19 19:49:41
2
sarah4rn
🩶روان🩶🇴🇲 :
ovyoooo hata shep ya kuimba huna🤣🤣😂😂
2024-02-18 01:38:22
8
mwanaikaomar
Mwanaika Omar :
wacha Wewe.jiachie mwenzangu da sabra.dunia ndo hii hii.haiji nyengine.watasema mchana usiku watalala.ni choyo tu kinawasumbua.achana nao
2024-02-17 18:47:36
5
911remmy
remmy67 :
😂😂😂😂tenaaaa binadamu wacheni makasiriko 😅 mbona mumekuwa majudge wa kuhumu wenzenu
2024-02-18 11:54:49
5
malkiawavijoratz
malkiawavijoratz :
ujumbe umefika buanaaaaa.... 😂😂😂
2024-02-18 05:24:39
6
ummyjammy
ummy jamilah :
santhaaa
2024-02-17 18:41:30
5
khamis020
khamis :
ushetwani tu
2024-02-17 19:09:19
7
lunahassan7
luna❤ :
ushasema kabsa kwahiyo kulipizana Duniani😂
2024-02-18 04:43:41
5
tuheshimiane0
evah💅🏻❤️‍🔥🤍 :
😅😅Bora niwe mamayako
2024-02-19 19:40:35
2
malkiabalqis
malkia balqis :
naona nitakuwa mamaake
2024-02-18 17:26:10
3
antieswabie
👄Antie Swabie💋 :
hii imeenda😂
2024-02-19 06:10:50
3
wahitoali5
MAMA BOY'S :
😂😂huyu nae babake hapana, kiwete sitak😁
2024-02-19 15:38:43
2
kiaofficial13
kiaofficial13 :
jina la wimbo
2024-02-19 01:46:22
1
mama.fahmi6
mama fahmi :
aiii
2024-02-19 14:59:20
2
To see more videos from user @sabramachano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About