@techs.land: Jinsi ya kuweka video mbili kwenye video moja. Smartphone tips and tricks. #CapCut #CapCut #smartphone #technology #tricks #androidtips #android #lifehacks #instagram #iphonetricks #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania #fypシ゚viral #technology #viralvideo
Tech Land
Region: TZ
Sunday 18 February 2024 07:50:22 GMT
Music
Download
Comments
MALIMA :
naitaj kujuwa jins ya kuweka kicheko kweny video zangu
2024-02-18 17:20:52
2
Therealpretty🦋 :
na jinsi ya kuweka picha mbili tofaut ndo ziwe pamoja
2025-06-30 21:08:49
0
Dahuu🦋 :
Mbn nashindwa kusogeza
2025-07-02 19:39:07
0
mathew location :
nice 👍
2024-02-21 06:11:56
1
habty nana :
naomba unielekeze maana simu yangu sio screenshot hmna je nifanyaje naomba msaada uwo
2024-05-02 05:34:04
0
vastry-son øf vikings :
namba nitumie ile ya kujua passed za account zang
2024-03-05 16:59:11
0
cris_org :
bro Ku awaken package install n vp mana sim yang hai install apps
2024-02-18 08:13:52
1
Alexander :
sorry na vp kuhusu kuweka videos mbili na kila moja I play kwa muda tofaut yan i play yakwanzaa ikiisha then nyingne na ziwe Kam hiz
2024-04-02 12:39:02
0
J chord :
mbona ile inshu ya kutoa beat unabakiza vocal hatua ya mwisho ile haiji kama ww?
2024-03-07 20:29:54
0
wardamohammedy :
samahani kaka nimefuta majina yote kweny simu inawezika kuyarudisha
2024-03-08 21:45:00
0
Miss pisces♓️💦 :
Mbon kurudi nyuma haitak
2025-09-19 16:50:17
0
Valentine✈️ :
Naomba kama una darasa la Capcut
2024-02-20 19:54:47
2
laddyhawer1 :
mm nna cm mpya nataka kuendelea kutumia tictok yangu ya zamani msaada tafadhali
2024-03-06 10:22:41
0
Awadhi Kipenzi :
samahan mkuu mm nikipost picha instagram aitaki kwenda kwann
2024-02-26 07:41:54
0
The fania173 :
follow back
2024-02-18 08:34:11
1
𝐤𝐢𝐝🐣 𝐯𝐢𝐛𝐞👉🐥👈 :
😎
2025-04-18 23:17:48
0
Sha-mg Sam :
😂
2025-06-22 09:18:01
0
MR FOCUS 💧 :
🔥
2025-06-07 06:07:08
0
aniphandicumana :
@Shyvinofficial kaka kuna huyu dada ana video zake anaziunganisha vizuri tujuze kaka
2025-07-21 23:17:30
0
gimple cute :
😂😂😂
2024-11-13 22:58:14
0
ali nur340 :
☺️
2025-07-28 13:49:28
0
To see more videos from user @techs.land, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.