@clementsanga: PROF. JANABI: UTUMIAJI WA SUKARI KWA WINGI NI HATARI KWA AFYA Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi vitu vitamu tamu, unavyozungumzia sukari sio sukari tu bali ni vitu vitamutamu. Pale Muhimbili tunao watoto wa miaka tisa wana kisukari.” amesema Profesa Janabi Amasema hayo mkoani Mwanza wakati akiwasilisha mada katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma ulioandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Washiriki wa mkutano huo ni watumishi kutoka taasisi mbalimbali za serikali. #clementsangaupdates

CLEMENT SANGA UPDATES
CLEMENT SANGA UPDATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 February 2024 13:10:15 GMT
11444
70
8
7

Music

Download

Comments

sifadesigner
@sifa_designer :
sasa wewe inakuhusu nn
2024-02-21 13:31:02
1
guebuza_3
Armando Guebuza :
sukari yenyew haishikiki kwaiyo shoo kali
2024-02-21 13:17:38
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
hata chumvi piya ni hatari mafuta piya ni hatari
2024-02-21 17:18:28
0
user6838204557956
user6838204557956 :
huyu kenge ndio kasababisha serikali isjitujali ukosefu wa sukali
2024-02-22 17:06:36
0
felix.mwenda0
Mabibo mzimu :
mmeamua kuficha sukar Ili tusitumie kisa ni hatar Kwa Afya et
2024-02-24 21:09:59
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
madokta wengine bwana kila kitu unachokula kina sukari ndani yake sasa basi tusile chakula chochote tunywe maji tu
2024-02-21 17:16:49
0
abdulrasuli.issa
abdulrasul :
tungekufa wapemba wote 😂😂😂😂😂😂
2024-02-21 17:15:10
0
user6561611076520
bugalu :
😂
2025-07-13 20:20:14
0
To see more videos from user @clementsanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About