@rubbieallnaturaltz: Replying to @carolinahosseya apart from bamia kukupa ute ute bamia ni nzuri sana kwenye kufanya uwe na a very clear skin na inasaidia sana pia kwenye kukuza nywele. Unaweza kuitumia kama detangler au leave in conditioner. #rubbieallnatural #okrawater #okra #healthygut #clearskin #ovulation #wetness #fertilityjourney #healthydischarge #healthygut #naturalremedy #hormonalimbalance #viral #healthyskin #herbaltea #tanzaniatiktok #tanzania #bamia

rubbieallnaturaltz
rubbieallnaturaltz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 February 2024 07:04:18 GMT
1172804
14082
408
2282

Music

Download

Comments

malaika.cute7
Malaika cute :
Kucha tu Ndio zimenipa kinyaa 🙄
2024-03-05 11:31:28
1
moanahshakur
moanahshakur :
nakunywa mno ila ule ute sipati shid nn😳🥺🥺
2024-03-03 16:01:01
9
lastbornruidha
ma kings👑 :
Hii inaitwa aje n kiswahili
2026-06-16 08:49:09
0
shillahawuor1
Mum Arielle🦋 :
does it affect family planning?
2024-03-05 09:45:54
5
22mariana42
🦋princess 🦋 maryum❤️💕 :
unakunywa kwa siku ngapi na pia haina shida ukinywa wakati upoo kwa period
2024-03-01 18:03:05
3
salomewadanny
mama clever :
mm nikiweka ilale huwa ina chacha
2024-04-03 19:26:38
0
zillahmghoi6
mama boys61 :
wat abt kam uko na fp na hauna hamu ya tendo la ndoa
2024-03-01 18:25:39
1
user4929112674341
peacer maria :
nisaidie je kama chuchu zinatoa maziwa kama nanyinyesha vile naweza kutumia nini
2024-03-01 14:49:21
3
user9748321201837
Enjoy saimoni :
Ukitumia unaweza pata mimba ukitumia iyo bamia
2024-03-05 04:10:21
0
beatricewanjiru422
Beatrice Wanjiru :
𝒊𝒏 𝑬𝒏𝒈𝒍𝒊𝒔𝒉
2024-03-04 15:51:34
0
detapaul
dee :
Kama nikitafuna bamia halafu nikanywa maji si utafanya kazi sawa sawa na hiyo ya kuloweka
2024-03-03 03:07:07
1
kananu2025
lucicha2025 :
sopati mimba nisaidie ...naweza tumia nini my dear
2024-03-09 22:18:52
1
farhatmohd03
farhatmohd03 :
ms je unweza kuchemsha au nd urowek tu
2024-03-01 21:03:05
0
user1736800365449
v .m 🥰🥰 :
nakunywa kiasi gn docta glac 1 kwa sku au
2024-03-07 19:43:18
0
masanja.paul5
Richard :
unachanganyaa kiswahili kingerezaa kwanin usitumiee luggage moj t?
2024-04-03 18:26:34
0
lightoutfitstore
Light outfit store :
Nataman ila kushuka tumbon sasa 🥺
2024-03-04 15:56:43
2
malaika.cute7
Malaika cute :
🤣🤣🤣 Jamani mimke wa mtu smart no 1 ata ukija kwang mimi ntakua walimu wako wakulufundisha uwe msafi 💯
2024-03-06 07:27:42
1
malaika.cute7
Malaika cute :
Nifundishe please iliniache kujitia vidole 🙄🙄
2024-03-06 07:40:52
0
mammy_youh
crownedheart_xo🫂❤ :
Asante kpnz nmepata ute for 3days
2024-09-12 18:00:57
2
agathasulle16
agathasulle6 :
herbal tea yenu mnauzaje?
2024-03-05 06:20:37
0
user5129019981660
you boy 😽😽 :
Shukrani
2024-04-23 08:19:02
1
user7982022824509
gracious :
unaenza kkunywa hukiwa na mimba
2024-03-05 05:54:25
2
nanalayra1
sweet _ñàñà❤️😌 :
so for how long you can keep it in the freezer
2024-03-07 01:49:02
3
japheti.my
japheti my :
Sawa dogita Asante sana
2024-03-05 16:48:48
2
mary.mhezi4
Mary Mhezi :
nkipaka kweny nywele nakaa mda gan ndo nitoe au nioshe
2024-03-10 08:55:32
0
To see more videos from user @rubbieallnaturaltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About