@dixonchorwa: Sehemu ya hotuba ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi enzi za uhai wake kuhusu wajibu wa kiongozi kwa watu wake. #ripmwinyi #mwinyi #buri #badilishamchezo

Dicho
Dicho
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 March 2024 14:20:43 GMT
38577
751
20
96

Music

Download

Comments

mbwambo.stee
mbwambo stee 🌿 :
😩😩😩
2024-04-15 16:10:12
0
aballflavourchuptachupta
aballflavour :
Huyu mwamba Kuna ulazima mkubwa sana wa kuzikwa z'bar kwa history ilivyo
2024-03-02 05:06:45
5
fruta551
FRUTA🍑 :
Allah ampe ksuli thaabit
2024-03-01 18:26:24
3
prince_ujazo
ALVIN J.J 🗽 :
uyu jamaa hajawai ongelea kuvunja muungano maisha yake yote na ameshika nafasi kubwa sana pande zote
2024-03-01 17:09:39
2
nurdinboy466
latino :
uyo sio hayati uyo ni marehemu
2024-03-02 12:55:54
1
jescammassiy
MQS :
Kaka dickson kwema
2024-03-13 08:16:51
1
user7862139217518
user7862139217518 :
wenzako wanajijali wao na familia zao hawanahaja na wananchi....pumzika kwa Ammani Allha akupe kaulitthaabit
2024-03-02 17:35:41
0
0bbbbbnnn
oooooooo :
Ee Mola Mjaalie Qauli thabit huko ulipo.Mashaalah aliishi maisha yasiyo na makuu
2024-03-03 13:15:18
0
mohamed.jumaa8
Mohamed Jumaa :
Mama aliposema Maktaba imeungua alikuwa na maana kubwa sana🙏
2024-03-04 17:11:24
0
To see more videos from user @dixonchorwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About