mm dokta na pata pereod tarehe 20ama 21 so nitajihesabia mzunguko wangu ni wasiku ngapi
2024-12-05 20:12:28
2
𝔻𝕠𝕣𝕖𝕖𝕟💝💞 :
Siku za hatar ni ngpi baada ya period?? na siku salam nizipi baada ya period
2025-12-29 09:57:25
2
Jennipher kitui :
Mim sijui naomba nisaidie
2026-04-26 14:06:49
0
bahati Hamisi :
mim ni xiku tano
2026-09-29 06:41:33
0
Nasoro Hassan :
mimi skuzanguzina changany
2026-01-12 07:21:25
1
Assy bae🎀🌹 :
samahan dada yangu me mzunguko wangu ni siku 28 ila naingia period siku 3 je siku za hatar ni siku gan naomba unisaidie
2025-11-28 14:28:48
0
SHEKHE SAID AHMAD🇰🇪 :
mimi sijui mzunguko wangu dokta
2026-05-14 10:54:39
0
crisper Tz💝💝 :
mimi apa nhtj kukufaham jinsi ya kuhesabu
2025-01-20 19:49:52
1
BakarMussa :
naomba namba zako
2025-10-13 19:58:40
0
cool♥️♥️ :
mm niliona dam mpaka talehe 11 .mwez 12 kwaiyo .nitegemee kujifungua mwez wangap na talehe ngap nisaidie nimeanza wiki ya 37 lakini sisikii hata dalili za uchungu
2025-09-15 04:21:27
0
Linah🦋 :
Hilo jedwal ni kwa mtu mwenye mzunguko w siku ngap