@biolifeherbs: Tangawizi. Faida unazoweza pata, ukitumia TANGAWIZI. 💛Inaondoa gasi inayotokana na kuchacha kwa chakula tumboni, pia itakusaidia kupata cho vizuri kabisa. 💛Tangawizi Ina molecule inaitwa Gingerol ambayo inasaidia sana katika kuongeza Kinga ya mwili kupambana na magonjwa. 💛Ina saidia sana kupunguza maumivu wakati wa hedhi. Kama unapata maumivu jaribu kunywa Tangawizi kwa siku ya kwanza Hadi ya tatu. 🔰Ina kata kichefuchefu. 💛Pia Tangawizi inaweza tumika kupunguza maumivu ya kichwa na viungo. 💛Inatibu kuchelewa kupata siku za hedhi kwa wasichana. 💛Husaidia nguvu za kiume. 💛Tangawizi unaweza changanya na kitunguu swaumu inasaidia sana kupambana na Mafua. MATAYARISHO, Chemsha, kunywa ikiwa yamoto. Unywe tangawizi mbichi iliyotwangwa chemsha kama chai kisha kunywa bila kuweka Sukari wala Asali Kikombe kimoja Asubuhi na jioni, kwa siku kumi na nne, Hakikisha inakua kali sio unakunywa inakua haina muwasho hiyo itakua sio dawa 🙏🙏🙏. Kama unapenda kufuatilia makala zetu, tunaomba kitu kimoja tuu, ili itupe nguvu kuendelea kukupa makala nyingi zaidi, andika neno Asante kwenye comment, pia waweza Subscribe na kutufollow. 0673402024 #tangawizi

biolife
biolife
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 05 March 2024 15:53:35 GMT
254515
11806
2225
1753

Music

Download

Comments

user8440372271758
Caroline nekesa :
asante tangawizi reduced my pressure
2024-04-19 05:19:12
2
user35992928776913
Alicia Liberati :
asante
2024-05-04 08:16:30
5
jaygonae
Rueda Mombo :
Asante 🥰🥰🥰
2024-05-17 22:35:30
3
abazarihamadik
ABUUU bakar ZARRRRR :
aѕannтe
2024-04-19 18:36:29
2
habibjaffer14
habibjaffer14 :
Asante
2024-03-06 04:38:26
4
user1970773660858
masoud malaika wa mungu :
asant
2024-03-14 07:12:53
1
user8800443656924
user8800443656924 :
Asantu
2024-03-07 06:04:46
1
user7083482490434
mchevu :
asant
2024-03-08 09:40:32
1
user9355601982941
Aly :
asant
2024-03-09 14:03:03
1
mumbalilege
Asumpta :
àsante
2024-03-11 13:44:38
2
user55241972104363brian
Brayo 🙏🙏🙏 :
Asante sana
2024-03-14 15:42:59
1
user5266113467683
sumail ujela :
obrigado
2024-05-29 17:46:15
1
priscakataliko
user1442506143773 :
asante
2024-03-14 15:07:12
1
baba.j85
user6344135207235 :
hasante 🙏🙏
2024-03-15 06:07:07
1
user5860985914729
user5860985914729 :
asante sana
2024-03-05 17:58:07
1
ramakhanibonny
Ramakhani Bonny :
Ahsante
2024-03-12 12:42:11
1
maliyatabu_og
The_King_Leo :
Ahsante
2024-03-06 05:00:45
1
7643986hjijgf
Cashflow :
🇹🇿 Ahsante 🙏
2024-03-25 12:56:49
1
safariruhamya
user9804323008327 :
asante
2024-04-17 08:58:13
1
nxues
marion kamam :
asande
2024-03-24 20:21:22
1
user703392233754
anclegichuru83 :
Ahsante
2024-04-08 04:58:33
1
happyness198
happynessfaustin :
Ahsante
2024-03-22 18:12:15
1
user9637530679271
daviidoo :
asante sana kwa message yako mungu akubariki
2024-03-14 14:48:12
1
abdallahkibwana6
vanessa :
asante, kwani wewe ni mzungu
2024-04-03 07:17:38
1
user2029025843025
Mzee wa mathna :
ahsante
2024-03-05 18:20:47
1
To see more videos from user @biolifeherbs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About