@balozikonshazi: ukweli huishi milele japo uongo hutawala, pengine inaweza kuchukua muda mrefu kuzibadilisha fikra za wengi kuamini hilo, mitizamo ya wengi inaweza kuwa kinyume na maneno ya Daktari haijalishi ni muda gani utapita kuaminika na wengi lakini huo ndio ukweli.#baloziwafuraha
kweli kabisa! kuna dada nilimheshimu mnoo, sikuwaza kumtongoza, siku moja nikamuuliza kitu jibu alilonipa lilinipa ujasir wa kumtongoz
2024-03-08 04:28:35
6
sandra pathy :
Very true 👌
2024-03-07 14:57:14
30
Janeth P Machota💕 :
wewe jishaue kutongozwa kawaida labda hujui. kukubali ndio kosa langu ingekuwa hivyo tusingepata wanaume kwahiyo mme wangu alinishusha thaman kunitaka
2024-03-07 19:11:29
2
Shams :
Mwaka usiwadanganye hao wamama hapo, ukiwa Una mvuto hata uwe mke wa mfalme utatongozwa ni ww tu kukataa na kujiheshimu, wake za watu ndio hao hawana gharama mlipaji yupo, mpita njia anakula free tu
2024-03-07 17:09:04
3
Ester The unique 🇨🇩 :
Wengine mtakuja kukataa future husband bila kujuwa 😂😂😂
2024-03-07 20:09:39
7
MAORE GROUP :
absolutely true
2024-03-07 12:11:53
12
Dumero :
Yah jiulize umekosea wapi
2024-03-07 15:22:35
2
PATRICK EDUARDO :
factual information
2024-03-07 05:07:34
7
annickool :
wenye hawatongozwi tujuwane 😅😅😅😅
2024-03-07 12:22:00
2
Donmeck47 :
Sio Kweli,Thamani Ya Mke Wa Mtu Au Mwanamke Ni Yeye Mwenyewe Akijiheshimu Na Kujitunza Na Haishuki Kwa Kutongozwa.
2024-03-08 18:44:53
1
Mr killo :
sahihi kabisaaa
2024-03-07 20:37:47
1
ummubbyz :
nikweli kaka 👌💯
2024-03-07 17:58:31
1
Janta Zuma Tz :
Dr Mwaka unajikuta una busara kweli Yani 😅
2024-03-07 05:27:24
5
GRACE 98, :
basi mi nilijua ninamkosi, maana sitongozwi, nashkuru nimeelewa