@_awery: #namespiritually #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #wombawakening #soulcommunication #telepathy #spiritualportals #spitituality #spirits

Psychic Medium Awery ✨
Psychic Medium Awery ✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 March 2024 14:36:28 GMT
25804
1951
70
137

Music

Download

Comments

unreal20223
UNREAL :
how do you get to know all this
2024-03-16 16:00:18
2
tausi4770
TAUSI beauty empire :
sasa ninyi mlikuwaga wapi na mmejufunzia wapi maana twaogopa majira ya jioni haya
2024-03-16 18:35:48
5
awadhawadh996000
awadh P2kila :
unaongea na macho pia au
2024-03-16 16:00:11
2
mummybabbymommy
Mummy baby♥️ :
Awery you tube yako kipenzi
2024-03-16 15:24:49
2
swifttrendglobal
ANGEL'S BOUTIQUE 🫦 :
turuhusu tusave videos plzzz, i need to learn more from you..i feel to aweken spiritually.
2024-10-27 10:22:21
2
simply_carry12
simply_carry🧿 :
kweli sarai kuwa sarah
2024-03-17 04:54:44
1
mimah3651
Thuma🤍🧿♥️ :
asante kw mafunzo nkupend pia
2024-03-16 19:00:32
2
fht446
sanrsna :
mbona km sielew mm jina nipewa jina la bibi lkn nitofauti kwa kila kitu
2024-03-18 17:30:53
1
4our9ine4
INKER49 :
sasa wanaweke si muite watoto mo,briget,n.k
2024-03-18 18:41:43
1
agneswilliammndal1
agneswilliammndal1 :
Mimi nilimuuliza wakati amezaliwa nikamuita jina lake akaitika
2024-03-17 17:27:10
1
lionelmessironaldo123
MESSI / CR7 :
Je
2024-03-17 22:45:14
1
chrisensialeonar0
chrisensialeonar4 :
Tunakupenda zaidii💖💖
2024-03-16 17:56:20
1
kibibi38
Kibibi :
Mama yangu aliota mdogo wangu atazaa mtoto wakiume anaitwa majaliwa kweli alijifungua mtoto wakiume lakini mdogo wangu hakumuita jina hilo kuna shida
2024-03-16 21:52:02
1
hakika.mush
Hakika Mush :
dada naomba niambie Jina langu la kiroho, mimi naitwa HAKIKA,
2024-05-07 09:15:13
1
matildarozenkiwel
matildarozenkiwel :
unaanza kumuuliza mimba ikiwa na muda gani?
2024-03-16 19:11:21
0
beingmary03
Mariam♐ :
Dada nakupenda ❤️
2024-03-17 08:06:57
0
mzunguxh
Mzungu47 :
tunao itwa Emmanuel inamaana tuna spirit ya yesu
2024-05-15 19:32:28
0
deogratiusmpanduj
deogratiusmpanduj :
mbona kuna watu wanamajina mfano furaha na bado akawa na katili
2024-03-17 07:48:22
0
justinkanje
Justine :
nataka kujua kipawa MUNGU alichoniumba nacho inawezekana?
2024-03-16 19:44:45
0
rayyan_mom98
🎀𝓜𝓲𝓼𝓼 𝓶𝓮🎗🎀♥️ :
spritual name ya mwamvua plz 🙏
2024-03-16 15:23:45
1
lilianemaina123
A WINNER OF SUCCESS :
🥰🥰
2024-03-16 16:46:43
2
jacquelinesima
Jacquelinesima🧿♎️ :
@Ester Kivaria
2024-03-16 19:07:49
1
jecinta.kebo
Jecinta kebo :
🥰🥰🥰🥰
2024-03-16 17:31:02
1
auramobileofficial0
💫AuraMobileofficial 💦 :
♥️♥️
2024-03-16 15:29:51
1
tevelhtn3g8
jrealtevez07 :
na je unajua wewe n mzuri
2024-03-16 23:40:13
6
rahmanyamiz
rahma :
Utajuaje kama ni boy ore gly
2024-03-16 17:36:24
3
divinelegacybuilders
Divine Legacy Builders :
Yaani Mimi alikataa Jina la kiume , kumbe alikua wa kike na dada yake alipo ita Jina la kike alifurahi kwa kupiga teke. Nika jua nimebeba mtoto wa kike.
2024-03-17 13:41:25
2
user223726071396
@officail :
hahahaa naonaa tuu uzuri wakooo
2024-03-16 23:18:29
2
zuhyofficial
zuky :
dah! uko kihekima sana dada, lakin sasa uturuhusu bc tusave ili tujifunz zaid polepol..
2024-03-18 20:07:02
4
usermarymjemamjemary
Maryland :
Mimi nilikuwa anaota mtoto wa jina ni Amani au nikikaa napata tu mawazo mtoto ataitwa Amani nikapuuzila alipo zaliw tukampa jina lingine alikuwa anali
2024-03-16 17:52:52
2
_chubanka
chubanka :
hawa jamaa wote aethetic ni wanaela tofaut na sisi watu wa dini😳
2024-03-18 02:21:20
1
lovenessmunishi
Love ❤️🥱❤️‍🔥 :
Watu wanaoitwa majina ya mitume wanakuwaga malaya 🙌
2024-12-26 23:21:44
1
hreeyanna
hreeyanna :
You are the best @dr_abraham_lovespell
2024-03-20 17:02:09
1
masoud.masoud.pil
Masoud Masoud Pilly :
da awery mm nilikuwa nasumbuliwa sana na maumivu ya hedhi pia nipo kwenye uhitaji wa watoto nilifanya ile dawa ya yai maumivu yote yameisha ila sijafanikiwa bado kupata watoto nifanyeje?
2024-03-21 15:33:11
1
c_licia
cutelicia :
@Medoty Mashaka Medoty
2024-04-02 23:09:04
1
mushtara5
zuhal 4221 :
thanks you're the best
2024-04-10 01:43:46
1
allyallysalim1212
Ally Allysalim1212 :
na wewe tunakupenda
2024-06-09 06:30:03
1
agrippinaalinda
Mtoto wa kihaya :
kumekucha
2024-03-17 08:37:32
1
riverajuice
riverajuice :
I have find spiritual man on TikTok @dr_abraham_lovespell
2024-03-19 10:06:02
0
african0933
african :
who are you
2024-04-23 21:48:03
0
mwalim_misky
Misky-Bilal :
naomba uniambia jina langu la kiroho
2024-03-16 19:03:42
0
user57816868043537
user57816868043537 :
nataka kujuwa jina langu laki roho nisaidiye pls
2024-05-20 14:18:32
0
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About