@lilyanapika: Hizi Barafu/aiskrimu unaweza ziuza na wateja wako watazifurahia sana. Kitabu cha kujifunza Kutengeneza Aiskrimu za Biashara Nyumbani bila Mashine bado kipo kwenye bei ya OFA mpaka tarehe 31/03 Hardcopy ni sh 35,000/- soft copy ni tsh 25,000/- NB: Tafadhali kabla hujalipia kitabu wasiliana nami kwanza 0718553999 Mahitaji Maziwa ya maji nusu Lita Maji Lita 1 Unga wa ngano vijiko 2 vya kulia chakula Sukari vijiko 8 vya kulia chakula Ladha ya vanilla vijiko 2 vidogo vya chai Ingredients Milk 1/2 litre Water 1 litre All purposes flour 2 tbsp (you can use corn flour) Sugar 8 tbsp Vanilla flavor 1/2 tbsp #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #🇹🇿fatherland #kenyantiktok🇰🇪 #mapishi #zaikijiwenongwa😂😂😂😂 #vichekeshotanzania ##daressalaam🇹🇿 #fyp #🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥