Asalaam alykum warahmatulah. naomba kuuliza maswali
1.je kwa mtoto ambae ha
jafanyiwa Akika kuna uwezekano wa kumfanyia Akika baadae ( mtoto ana miaka 4).
2024-03-24 17:44:08
3
Leilah Sheikh :
ikiwa umesahau kumfanyia akiwa mtoto mchanga je yafaa kumfanyia Aqiqah mtoto akishafikia mkubwa ? mathalan miaka minne ,kumi nk?
2024-03-21 19:46:53
2
Mohammed Mikidadi :
Tusaidie hiyo Hadith inayosema usivunje mifupa please
2024-03-21 11:09:31
1
shrinebby :
Asalaam Alaykum,Je Mama na Baba wanaruhusiwa kula sadaqa hiyo ya Aqiqa pamoja na Mtoto mwenyewe???
2024-04-12 09:06:29
0
Monar Hussein :
shekhe swali langu kama huna ndoa yaan mtoto siyo wa ndoa unaweza kumfanyia aqiqaa
2024-04-01 13:56:05
0
user1117978575397 :
je waeza mfanyia mtoto akiwa amepitisha umri yani kwanzia 10 kwenda juu?
2024-03-23 12:08:55
1
ruksanaaa :
Je akika ni lazima au ni sunnah
2024-03-19 19:13:48
0
Maryam issa :
mwisho w kumfanyia mtt hakika ni umri gani
2024-03-19 11:11:48
0
Mrs. :
isipovunjwa mifupa yake itagawa vipi?
2024-03-19 19:25:26
1
sofie de first :
Asalm alykm warhmatullah wabarkatuh....Sasa Ile Aqiqah lazma afanyiwe na siku Saba , na je kama mzazi hakuwa na uwezo anaweza fanyiwa kama ana umri wa miaka mitano
2024-03-20 22:50:30
0
Aidman San :
assalamu alaikum ikiwa hawafanyiwa ndani izo siku 7 inakua sahihi muda gani kupita au tayari kashanyolewa nywele ni sahihi ten kumfanyia iv ilihali nywele zilishanyolewa kabla
2024-03-20 10:22:03
0
boss kubwa :
Waeza kumfanyia mtoto akiwa ana umri wa miaka 7 kuendelea ama lazima awe mchanga
2024-03-20 00:45:40
0
azizahussayn :
je kama sijamfanyia akiwa mdogo akiwa mkubwa inafaa ama
2024-03-19 10:14:02
0
To see more videos from user @masjidmaamurrtv, please go to the Tikwm
homepage.