@biolifeherbs: MAUA YA BRIGHT EYES 👀. 🌟Maua haya yanaitwa BRIGHT EYES au MADAGASCAR PERIWINKLE. Huwa nayaona kwenye bustani za maua kwenye majumba ya watu. Yapo ya rangi mbalimbali kama nyeupe na pink. Ukiachana na kupendezesha bustani zetu pia ni dawa nzuri sana. Yametumika katika tiba kwa zaidi ya miaka 2600 BC. kabla ya kristo. KIFUPI YAMETUMIKA KATIKA TIBA YA: 💚Saratani mbalimbali hasa Saratani ya damu ( Leukemia). 💚Kutibu Kisukari. 💚Kutibu Vidonda sugu. 💚Vidonda vya koo. 💚 Kikohozi. 💚Kutoa sumu za kung'atwa na wadudu kama nyigu, buibui, nyoka etc. ANGALIZO: Yanakiwango kikubwa cha sumu, na dawa ni vyema kupata ushauri namna kutumia. Kama umependa makala hii, na ungependa kuona zaidi nakuomba kitu kimoja, comment neno Asante, like, share, subscribe na tufollow.
biolife
Region: TZ
Tuesday 19 March 2024 13:02:32 GMT
Music
Download
Comments
Jenepher Omolo :
asante how to use
2024-03-20 10:11:58
12
Mr Legend :
how to use
2024-04-16 02:32:26
4
user6086548480405 :
asante
2025-01-12 19:55:30
1
hussenpambakali :
asante
2024-04-16 07:47:10
3
user7323686836732 :
Asante maty.uzu
2024-04-13 13:15:37
3
wisely "A" :
part2 . please
2024-03-19 19:33:54
2
user5366279818103 :
Asante
2024-03-20 06:42:48
10
judymarie821 :
how to use it
2024-03-19 16:08:19
10
Mercelita Kk :
how do you use them. teach us how.
2024-04-23 07:01:28
3
user3456724624449 :
how to use
2024-04-18 12:31:01
3
Asha mbarouk :
asanteee ❤
2024-04-22 12:01:04
3
Daniel Kiambi :
Thanks, i want to learn about it more.
2024-04-18 00:09:38
3
user5981696191363 :
asante
2024-04-24 15:27:53
2
traciahrachma :
thanks
2024-04-24 21:15:54
1
Pascal pilipili :
asente tutumiue je
2024-04-29 16:03:20
1
fulldozer :
asante
2024-03-20 10:44:40
2
To see more videos from user @biolifeherbs, please go to the Tikwm
homepage.