@afya.point1: #Dalili #hizi #9 #jua #ni #kisukari

Afya Point
Afya Point
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 March 2024 07:54:06 GMT
720124
3686
200
809

Music

Download

Comments

simonialexnda
wakuja :
mimi naisi wasiwasi shida nini
2024-03-22 10:38:56
6
fatmawazili
fatmawazili :
mungu wape wepesi wagonjwa wote inshaallah
2024-03-22 06:27:13
6
angelica103325
user854914269836 :
mimi usiku ama ata mchana nikilala mikono hua zinakufa ganzi 😳
2024-03-23 01:45:56
2
user6082976107479
user6082976107479 nimeyapitia :
mimi ukojoa sana miguu uchungu na inafura choo siendi kabisa lazima dawa kukula sikuli sana hivyo.
2024-03-22 06:31:21
3
mimz892
mimz :
Mimi kukula nakula mbaya sana doc naomba unisaidie ambacho ntatumia ju naona dalili ya kukula hapo nipunguze aki
2024-03-25 12:07:47
1
user8091599762353bbys
momylv :
Mungu atuepushie
2024-03-26 11:40:59
1
rashiah
Micky :
mkojo wng uko rangi ya yellow hio nayo ni nn
2024-03-22 07:28:27
4
mamdo2905
Buki@G :
mbona aunt angu kama anzo hizi dalili karbu 5 ila.hospatl hawajamuambia kama anao uo ugonjwa?
2024-03-25 14:09:25
1
sintah369
Sintah_1 :
Dalali zote hizo mama yangu anazo kasoro hio no 8 na 9
2024-03-23 13:29:43
1
luciawanga
shoso wa twana :
Mm kilo za mwili huongezeka haraka na shindwa ninini
2024-03-22 11:16:57
2
proscovialongino
proscovia83 :
mi ninazo dalili kama nne ila napima sukar haionekani cjui tatizo nini
2024-03-28 17:59:52
1
user2770947778099
user2770947778099 :
ukinywa maji mengi lazio ukojoe mara kwa mara
2024-03-22 05:48:40
3
frank941997
Frank :
Mimi kuna mda mkono wa kushoto unakuwa kama na ganzi na mara nyingi hutokea nikiwa nimeshika simu, shida ni nini labda dokta.
2024-03-26 14:57:21
1
theopisterjovent
Shine :
Mom💔 pumzika kwa amani mpaka leo nahisi maumivu uliyokuwa ukipata 😭😭😭 endelea kupumzika mama angu🙏🙏
2024-03-28 09:10:02
1
kingujr
Kingujr :
kama miguu inawaka moto tyu.cio Ganz shda nn
2024-03-22 11:04:56
2
marymela.kipenzi2
Marymela kipenzi :
mungu nisaidie
2024-03-24 09:33:04
1
lyimo69
Lolah Lyimo❤️🦋 :
doctor mm na shd hyo ya sukar lkn kila nikipima ipo normal na waliniambia ninasukar
2024-03-23 06:25:33
1
mariamukwingwa
wakala mamu ❤️👀😏 :
dah nisalisana daliliizo snahatamoja mung nitakuabudu milele
2024-03-22 04:52:56
2
aminahhuawei
Da mii :
Allah atufanyia wepesi kwa sote🙏🙏🙏
2024-03-21 18:23:17
1
swaumabdallah925
Swaum Abdallah :
mm 9 mimokono namiguu kufa gaz mala chache sana
2024-03-27 16:28:49
0
mutotowamungu1
TWENDE NALO :
I have all of this
2024-05-08 00:59:02
0
user6967236844293
user6967236844293 :
Ndy nidaliliinayonikuta mm jamani.
2024-04-19 15:27:59
0
davidmbi1
David Mbi :
mimi nakojoa mara 7 mchana apo aje
2024-04-05 10:38:26
0
zounatal_001
Wigs_chanika :
dr ninae mtu ana dalili zote naomba tuwasiliane tafadhali
2024-03-27 19:02:55
0
ruun1969
Ruun@@ :
mm ninahizo dalili zote naniko namimba miezi tisa nimepima juzi nimeambiwa Niko nasukari 7.1 nifanyejee
2024-03-23 06:53:25
0
To see more videos from user @afya.point1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About