@abii.bakr.alaw: Shekh muhammad ayoub nimemuahid mungu kutumikia uislam

Abii alaw
Abii alaw
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 March 2024 19:58:19 GMT
53688
1273
156
136

Music

Download

Comments

moha.alpha.001
moha alpha 001 :
Yani amemanisha kuwa Allah nae angelikuwa nae anakufa Nani angelitupa riziki 😭subhana Allah imenigusa
2024-03-22 17:20:42
10
issamohammedi
Issa Binghaz :
kam kuna shekh tanzania hamjui shekh mohamed labd kazaliw ulaya #mwalimu wa mufti tamta
2024-03-22 20:21:16
7
yusufnoor729
yusufnoor729 :
babu chunga ulimi wako Allah ni mwenye uhai wa milele
2024-03-21 21:45:41
5
baasbaa5
habiby :
hayo maneno ni yamafumbo mawahabi hawajayaelewa.
2024-03-22 05:13:49
8
user4361827263821
sulesh :
na umeutumikia uislam sheikh wengine ni mashekh wa TikTok tuuu😅😂😂 na radi mvua haznyesh
2024-03-22 10:31:01
4
yahyaahmad6115
Yahya Ahmad :
ukitaka kujua ma wahbi fahamu zao ndogo basi watazame kwenye lugha kama hii hawawezi kuolewa kabisa utawasikia subhana'llah Allah....🤣😂😂😅
2024-03-24 17:17:52
5
alhadyaly
Ahmad A...🪶 :
naomba unieleweshe umemaanisha nini ..?.siezi kucoment kabla sijaelewa ulichomaanisha..😌
2024-03-28 18:32:57
1
salehabood458
aboud saleh :
sufiii hiliii mungu amsamehe madhambi yke
2024-05-22 15:26:02
0
raheemkhandaprince
The Machine TZ 🇹🇿 :
kageuza maneno yesu sio Mungu kwa maana Mungu hafi na ndio maana akasema atabakia kuwa muislam
2024-03-22 06:30:40
4
mu.sulemani
Mu Sulemani :
Hayo maneno kama ujasoma balagha uwez kuelewa
2024-03-24 07:14:36
5
kijanamtundu932
abuu hudhayfa932 :
ngoja niwafahamishe haya maneno kipind hicho mashekhe walikuwa wakikimbia tanzania kufundisha maisha magumu shekh aligoma na kubaki tanzania
2024-05-30 19:36:44
7
abby_salaam
abby :
Watoto wa juzijuzi ndio hawaelewewi hayo maneno.
2024-03-23 15:49:00
3
rachma_rahiy
Being_Rachma🦋 :
kuna watu wao wanasikiliza kujibu hawatafakari. hawatoelewa wataanza kutukana hunu .. mtawaona
2024-03-24 07:02:40
4
user5919878526931
Sawda Saidi :
hayo maneno aloyasema kama hujui maana bora ata nyamaza mwana zuoni mkubwa huyu kuieneza dini ya Allah mpaka sasa anatajwa kwa wema sheikhe wetu Allah akupe Pepo ya fridaus twajivunia Tanga
2024-03-23 21:55:13
4
user5159817391880
umm Aqsa :
vemaa ukasikilizaa mtu hadi mwisho na ikiwa hujaelewa hekma ni kukaaa kimya tuachee mihemko jmn mbon mzee wa watu kaeelezaa vizuri tu
2024-06-16 17:46:10
1
titus.geza
Titus Geza :
kuna watu ufahamu wao kisoda...haya maneno ni kwa wenye akili
2024-05-30 19:20:54
2
akhy7924
akhy :
katumia mantiq kwa asiye elewa ni bora kuuliza kuliko kuropoka mashaallah shekhe letu Allah amrahamu
2024-03-25 08:22:36
2
kijanamtundu932
abuu hudhayfa932 :
hivyo akasema atapat huzuni kusikia mungu akifa lakin kam hafi basi yy ndo mtoa rizk haondok tanzania kuwaacha wanafunzi wake
2024-05-30 19:38:06
3
user5016205245278
Nasseb Hozza :
mashallah shekhe wetu kipenzi Tamta . nyumbani kwetu.makorora.
2024-06-12 06:36:15
1
ustaadh.issa.a.ju
Ustaadh Issa A Juma :
Hapa kama hauna ufahamu mwepesi unaweza usimuelewe! ila mie nimemuelewa kwamba mungu hafi na hata kufa,
2024-03-22 15:00:39
2
shemiy8
shemiy :
mashaAllah Allah akulipe kheri
2024-05-24 15:37:44
2
abalqaassim1
abal qassim :
msikilizeni mpaka mwisho huyu bwana tunamfahamu sisi kwamba ni nani
2024-03-23 12:22:35
1
daruweshmaftah
daruweshmaftah :
😭😭😭 dooo babu letu ameongea maneno mazito sana
2024-03-21 21:27:48
1
dahlainismail
dahlainismail :
wazushi
2024-03-22 11:39:21
0
To see more videos from user @abii.bakr.alaw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About