@drboazmkumbomd:

Dr Kitundu Boaz
Dr Kitundu Boaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 March 2024 16:55:12 GMT
67056
1171
32
266

Music

Download

Comments

qitabu_wa_sunna
Qitabu_wa_Sunna :
i dont do that mistake 😂😂😂😂
2024-06-05 07:30:22
0
chronix56
CHRONIX :
facts
2024-04-05 05:32:31
0
leesonbae3
naiyunesteven :
me nakula healthy ila mume dooh hatak kuelewa..na wanaume mnapokufa mapema...wanawake tunawah kuelewa kuhus afya zetu
2024-03-25 10:32:20
1
ideo49
ideo49 :
achaujinga atawew utakufatu ataule majani kamambuzi anaepanga sikuzakuishi ni mungu pekee achatu tule tukifa atujuituendako peponi niapa apa duniani
2024-06-15 18:46:59
0
user83180419461222
user83180419461220 :
tunakula tunachopata,tulia dokta😂
2024-05-13 14:22:32
2
fettieboss
fettyboss😍😍 :
Tule nini jamani? Bas tusile sasa
2024-03-23 20:07:30
2
zuk05ct
femalegymtrainer💙❣️ :
mmmh wanakula kongoro huko nje 🤣🤣🤣
2024-03-25 07:37:19
2
bethndunge9
user6716869745131 :
ila mume wangu hana,yeye anapenda sana kuangalia afya yake,lkn kuzaliwa ni siku moja kufa siku moja mm na mchele hatuachani 🤣🤣🤣
2024-05-22 13:11:26
1
breyvvian510
Brey -Tonny :
Kitambi si kibaya
2024-06-09 08:22:05
0
qitabu_wa_sunna
Qitabu_wa_Sunna :
nasema natak kula this and this
2024-06-05 07:30:38
0
bethndunge9
user6716869745131 :
mbona unanizungumzia daktari 😭😭mimi bila soda na chocolate kwa fridge sina amani ila mume wangu hawazi ata kuonja ,naona ndio maana mm niko na kitam
2024-05-22 13:09:59
0
sharif.hodari
SHARIF HODARI 🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇧🇮 :
RAFIKI YANGU KULA KULINGANA NA UWEZO WAKO HAKUNA ANAEJUA KESHO
2024-04-02 07:24:37
0
twizastore0
TWIZASTORE🇿🇲🇹🇿🇿🇲🇹🇿 :
Wengine wanakongoloka kinoma acha uongo 😂😂😂
2024-03-25 21:18:27
0
furnitureandelectronics2
FURNITURE & ELECTRONIC 2024 :
🛏Magodoro chapchap sisi ni wataalamu wa magodoro Tanzania. 📝Tunatoa ushauri wa godoro Bora kulingana na mahitaji yako. 😢Wengi wameteseka kwa kununua gogoro bila kupewa ushauri wa kitaalamu. 🏃🏿
2024-03-25 20:03:20
0
user2266338077717
shishi :
🤣🤣🤣🤣
2024-04-02 03:20:42
1
tibakiboko0
tibakiboko0 :
🔥💪💪💪
2024-05-17 16:32:40
0
officialfadhilomar
hubba melodies :
@zulpha cikanda
2024-04-12 15:07:57
0
focussankara
focusSankara :
uko mkwel chief, this is true nowadays nakataa kula wali roast at night, my wife alikasirika at first but later on she understood my intention and now tupo kwa same page
2024-05-14 13:16:01
1
am_pseudocode
AM~Coder :
But madaktari mnajua tunapofeli.... watu wanakula kutokana na walivyozoeshwa, toeni elimu madarasani huko...jamii haijui ile nini baada ya kuzoeshwa kula isiyokubalika.
2024-05-27 04:20:44
0
bethndunge9
user6716869745131 :
lakini wapo wanao angalia sana afya yao kwa kukula vyakula venye afya lkn wanakufa mapema,
2024-05-22 13:14:24
0
charlesmtitu
CBM. :
madaktari wengi wanavyoongea as if wao hawana matatizo hapana sio kweli. ukisikiliza jmaa anavyoongea as it yeye hatapatamagonjwa
2024-03-30 15:07:26
0
kuducy1234
Dr kuducy MCT/ Nacte officer :
habar, kwa kada zote za afya najaza CPD point na kuapload , nafanya application za leseni , avn , transcript na delivery from MCT no 0625639679
2024-06-14 13:09:56
0
077mk5
Ibrahim :
nina Type 1 diabeatic sijaowa
2024-04-10 12:15:03
0
To see more videos from user @drboazmkumbomd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About