@lilyanapika: Kabla hujaniuliza kama unaweza kuu za, jibu ni ndio bei utapanga Wewe, kati ya sh 100 au 200. Ni muhimu kukumbuka kuwa gharama za vitu zimepanda kwahiyo zingatia ujazo wa aiskrimu na bei ili upate faida. Kitabu cha kujifunza Kutengeneza Aiskrimu za Biashara Nyumbani bila Mashine bado kipo kwenye bei ya OFA mpaka tarehe 31/03 Hardcopy ni sh 35,000/- soft copy ni tsh 25,000/ Kulipia👇 Lipa Namba: 56709571 Jina: LILYANAPIKA Mtandao: M-PESA Kisha tuma screenshot ya muamala wako WhatsApp 0718553999 Mahitaji Unga wa Ubuyu gram 150 Maji Lita 3 Sukari gram 200 Kilainishi (CMC) gram 15
Lilyanapika
Region: TZ
Thursday 28 March 2024 10:43:26 GMT
Music
Download
Comments
RAIS WA UKEWENZA :
kipenzi mbona mimi natafuta cmc kifungashio chake kikoje au kilaini kinaitwaje
2024-04-18 12:02:35
1
mchara :
mungu abariki kazi ya mikono yako dada,huna BAYA,,huna uchoyo mpenzi
2024-05-23 19:26:06
1
witness Mbonika :
una darasa
2024-04-07 07:04:56
0
user9944791621958 :
Ahsante Kipenz
2024-04-16 13:09:48
1
Samantha :
kilainisha cmc ndio nn daa cz nataka kufanya hiyo biashara
2024-03-28 13:11:35
1
Rukia Mambea Machilli :
asante🥰
2024-03-30 06:16:01
0
Judith Mnkande :
Asante
2024-04-07 14:09:30
0
Sammyg906 :
naomb picha ya kilainish dada
2025-12-19 04:15:49
0
ichhraf :
una patakana wapi dada Mimi naomba kujuwa kutengeneza barafu
2024-04-30 08:33:46
0
user8783568062475 :
naomba darasa
2025-02-22 21:08:25
0
🦋 Maryam 🦋 :
asant naomb unatuandikia vipimo samahan kwa usumbufu
2024-04-11 19:31:13
0
sumayaramadhan132 :
Unga gani unao fanyisha?
2024-04-12 15:32:14
0
Mediatrice Manga :
samsi njo nini muluga ingine maman
2024-04-11 04:01:26
0
merry beauty :
ahsante
2024-04-15 15:20:50
0
Samantha :
Ooooh Asante
2024-03-29 06:00:52
0
witness Mbonika :
ndio nataka nifundsh
2024-04-09 17:49:25
0
titer muya :
hicho kilainishi ni sawa na cot mill
2026-02-14 09:12:15
0
zee_big modal🍓 :
kilainishi hiko kinaitwaje dada @Lilian
2024-04-15 14:03:26
1
souzerfx :
@Miss Aman
2025-05-20 11:46:19
0
Lizzy juice point 🍹 :
😍😍😍
2025-11-24 14:08:51
0
mamu_waOnestep :
😂😂😂
2025-12-12 17:55:54
0
Bieshe :
😂
2025-12-04 19:25:33
0
user1132533985725 Anty chama :
cmc ndio nn
2024-05-13 20:22:44
0
Aminhajj :
CMC ni nini
2024-04-28 19:12:45
0
Mariyam :
nn. kilainisho. cmc
2024-05-16 09:42:36
0
eggy :
Asante
2024-04-12 16:04:30
0
modestamwalongo :
🙏🙏🙏
2024-04-12 04:22:50
0
To see more videos from user @lilyanapika, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.