@dodoma_view: Hapa ni Farkwa ambapo kuna project kubwa sana ya kutengeneza bwawa la maji katikati ya Hiyo milima ambapo maji hayo ndo yatatumika kuhudumia Jiji la Dodoma... As i heading home🥰😋 . . . . . . . #Theworldisyourstoexplore #nature #domcity #singida #dodoma #dodoma_view #dodomatanzania🇹🇿 #dodomaviews #makaomakuudodoma #manyara #tanzaniaunforgettable #farkwabridge #farkwa
Dodoma_view
Region: TZ
Saturday 30 March 2024 10:35:13 GMT
Music
Download
Comments
official@mamu :
usandawe kwetu😋
2024-05-23 20:27:00
2
Mamyfaith :
Siku Niki inyaka no ya gari utakoma😂
2024-03-31 09:26:31
1
user1218971581951 :
home sweet home 🥰🥰❤❤❤
2024-04-10 09:20:16
5
user5842281590052 :
home usandawe kwetu karibu sana❤️🥰
2024-05-11 19:43:13
3
Mfaume :
Hokosee daaah we mzee nmecheza sana ndondo huko nkamia cup🫡😂😂
2024-03-30 12:22:14
2
Dj Daxy_🇹🇿🇿🇦 :
unaitafuta khubunko
2024-03-30 22:29:24
2
kadukadu1 :
my brother one day njo mpka kondoa ⛰️
2024-03-31 00:57:40
2
Elizabeth Ernest :
jamani fakwa au farukwa
2024-05-15 15:51:04
2
MOME🌸 :
home sweet home usandawe nyoosha moja kwa moja Hadi ovada 😍😍
2024-05-18 20:28:54
2
sandawe girl🌸🇹🇿🇨🇩 :
oooooh barabara ya kwenda nyumban usandawe kwamtoro, bubutole hapo😍
2024-05-22 19:00:02
2
Tina Mgema :
mi kote huko napajua kwani nimeishi chemba
2024-03-30 10:54:29
2
I am nayraty :
sweet home 💕💕
2024-04-04 06:51:37
2
Lamata26 :
broo home uko 😋😋
2024-03-30 10:39:18
2
Lamata26 :
nikionaga post zako huwa naenjoy sanaaa
2024-03-30 10:42:10
2
Abuu asmin :
Iki ana
2024-05-01 16:12:15
1
Lulu 💎 :
mnaenda kwa mtoro?nimemic home
2024-04-07 20:24:07
1
priscusimunishi6 :
jina la wimbo please
2024-05-02 00:31:44
1
Aisha :
🥺🥺🥺🥺 nimemiss kwetu kwamtoro
2024-08-18 09:57:49
1
Nyange Hassan :
bubutole
2024-05-06 15:43:02
1
fundi kucha manyoni :
ukitoka farkwa unaingia kwamtoro dah njia ya home
2024-05-08 12:20:48
1
nasor class :
nakubali mkuu hapo sawa
2024-05-08 15:31:21
1
nasor class :
nasubiri kondoa sasa
2024-05-08 15:31:35
1
graceshayo906 :
🥰🥰🥰
2024-05-08 21:41:46
1
carolinafelix95 :
mtu pori Sasa unarud mjn ama unahama pori😂😂
2024-05-09 11:14:06
1
Fabian Andrea :
usandawe moja hyo
2024-05-09 13:19:56
1
dencotz :
baadae muanze kuwasumbua mama zetu kuwa wanaharibu vyanzo vya maji wakamliwafata wenyewe
2024-05-10 11:23:57
1
Elizabeth Ernest :
nyumbani kumenoga
2024-05-15 15:52:00
1
svèn :
where does the camera man stand ??🥺
2024-05-22 22:05:30
1
@ laizer maningoo :
da sm yamasai lakini nilivyo ona ii video nimekumbuka mbali ezi zangu naenda miladani apo nakuaga nashaka san kupita naloli
2024-06-06 17:31:23
1
AMAN MAGAWA :
ludi nyuma hadi babayu nikwambie wakupe karanga japo mi nipo mjini lakn utapewa tu
2024-06-22 03:46:46
1
※Sandawe_girl✌ :
sweet home
2024-07-06 20:47:49
1
nureyshy🌷 :
ukifika chemba njoo makamaka tuondoke wote🥰
2024-03-30 16:59:38
1
Jüneyt :
🙏🙏🙏🙏🙏
2024-03-30 10:43:47
1
Tina Mgema :
mto bubu huo😂 huwa haukauki 😂😂hata kama kiangazi sisi tunanywesha ngo'mbe zetu maelf ya ngo'mbe yanakunywa hadi yanaacha maji 😂
2024-03-30 10:50:41
1
Tina Mgema :
mic you Mto bubu na ukijichanganya tu kipindi cha mvua unakuchukua dakika 1
2024-03-30 10:51:54
1
ukweni Kwangu huko Farkwa,
2024-03-30 11:04:01
1
luciana Christian :
daah nimekukumbuka home
2024-03-30 11:14:28
1
Hanifa Zuberi :
🔥🔥🔥🔥🔥
2024-03-30 11:28:14
1
Chimamy Mrangi :
wacha wee
2024-03-30 11:31:55
1
Sabra Da unique :
Kwamtor au vp
2024-03-30 14:04:21
1
user123215309195adamu :
nakubali broo maskani hukoo tumepamisi kinomaa
2024-03-30 14:59:42
1
M.K-47💥🇹🇿 :
home sweet home
2024-03-30 16:51:34
1
M.K-47💥🇹🇿 :
kumbe unatumiaga safar kiboko toyota land cruiser
2024-03-30 16:52:06
1
denahUg :
bro nyumban hukooo vip umepapendaaa
2024-03-30 16:52:34
1
Tina :
Maeneo ya nyumbn 🥰🥰🥰
2024-04-07 05:24:42
1
BINTI M MOHAMDI :
naona leo una enda kondoa kwetu🥰
2024-03-30 17:52:28
1
Sophie Lucas :
Kaaah nyumbn jmn😁 mepamis
2024-03-30 19:00:31
1
Young_ Detective :
Ukivuka hilo daraja ndo unaingia Bubutole, kisha Banguma, kisha Kwamtoro. Usandawe zone.
2024-03-30 19:09:28
1
atrya :
me nipe kazi ya kupita huko na ww 🤣
2024-03-30 19:31:33
1
To see more videos from user @dodoma_view, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.