@josephndobandola: UNATEKAJE UCHUMI KAMA UNALALA SANA?? #mentor #motivation #fyppp #trending #motivational_video #millionairemindset #foryou #mindset #viralvideo #business

Milioneamentor_ndobandola
Milioneamentor_ndobandola
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 31 March 2024 03:22:53 GMT
74352
3034
70
320

Music

Download

Comments

captain.ilocs
Captain.ilocs (Mr Adabuga) :
unaamka saa 11 giza kufanyaje kama siyo uchawi huo🤣
2024-04-26 13:13:55
4
habakuki.nyanda
Habakuki Nyanda :
Tatizo siyo kulala boss changamoto ni kwamba vijana wengi hawana mitaji na ajira hawana na mtaani pagumu sasa kijana aamumke saa 11 afajili anaenda wapi tafteni namna ya kuwasaidia siyo hayo maneno
2024-04-02 10:04:31
3
kimaro110
kimaro110 :
amka hata saa kumi usiku broo kama akili ya mafanikio ni huna tuu
2024-04-21 20:29:08
0
lilanygreenpro
LILANY GREENPRO :
sema kabisa maana kufanikiwa si sawa na kuota ,lazima juhudi binafsi zihusike
2025-05-05 21:02:26
0
novatuskiwango
👑CHAGA GOLD👑 :
wai kulala sio umaskin
2024-04-17 13:21:13
0
lawrenciodejunior
scott.. :
sahihi. bro vijana tuamke
2026-06-12 09:45:54
0
zetiora_ai_ecommerce
ZETIORA AI E-COMMERCE :
Fact...Tunapenda kuona vijana wakijenga biashara zao mapema KARIBU ZETIORA AI E-COMMERCE Tuweke Biashara Kidigitali
2026-05-18 17:24:57
0
missmimah2
@missmimah2 :
Bwana sio kila mafanikio ni lazima uteseke msituchoshe 😄@Ruujayna2 njoo uku shogaangu 😂😂😂🙌
2024-04-13 23:51:25
4
mwanjasjr
Mwanjas Jr :
2025-09-15 14:31:16
0
092001georgezaga
george zaga :
nimepata 180k naweza anzisha biashara gani na ninasoma chuo
2024-04-01 04:36:26
2
bphonesstore_
Bphonesstore_  :
Sasa kaka Kama huna kazi unafanya nn huna mtaji 😂😂😂
2024-04-13 10:35:29
2
twiza006
TWIZAOUTFIT :
Maisha hayana formula aise 😫😫 Kuna anae lala mpka sa 7 na bado anatoboa
2024-04-06 12:34:18
1
jackson.franc4
Jackson Franc :
KUNA BODA BODA HAWALALI...NA HAWANA PESA.. BT KUNA MBUNGE ANALALA HADI SAA 3 ASUBUHI NA PESA INAINGIA
2024-06-09 06:53:11
1
her_crown50
ESMAAH❤️ :
😂😂😂as usilale kwann
2024-04-12 04:47:15
1
hamzaalfany236789
Hamza khalifa💎 :
huwezi kosa kazi unapo amka asubuhi ...we anza sasa. utaona
2024-11-05 11:46:08
0
reallyrebecca2
CharmingBaddie🇹🇿 :
Nimecheka km mazuri🥺mim mwenznu naamk saa saba mchan na sishtuk kbs😩😩🤣🤣🤣
2024-06-04 22:37:31
0
vibe.boy81
vibe.boy8 :
hela xn na kulala nxhidwe kwer😁
2024-06-08 19:41:45
0
lazuuuh12
lazuuuh wanamaaah :
nakubal kak
2024-06-10 07:15:45
0
user1179336216077
mr Joseph :
sasa mtu una kazi unawai kuamka uende wapi isee
2024-06-10 19:23:07
0
user4728723329460
swidick yasini :
kama huna michong
2024-06-11 15:31:02
0
i_am_yusto
I_AM_YUSTO :
🥰🥰🥰
2024-06-22 15:18:30
0
geitaprezident
makamba25 :
swala lakulala haliingilian na uchumi kila mtu anajuwa anategaje hela zake kwa mda gan pia mtu anatengeneza hela zake saa10 jion
2024-06-23 03:54:38
0
geitaprezident
makamba25 :
na kunawatu wanaamka saa10 alfajr lkn hawawafikii watu wanaoenda kaz saa10 alasiri co kila mtu nampango yake
2024-06-23 03:55:28
0
9650768297838noreen
Betyina :
na ambao biashara zetu tunaanaza kuandaa saa 4 asubuh wateja wetu sanasan ni jion adi saa 4 usiku tuamke saan ngap?
2024-06-27 06:47:17
0
ms_binna255t
Ms.BINNA_255🇹🇿 :
Na kuota anaota eti😁😁😁
2024-05-21 13:25:50
0
bajomakidy29
bajoma :
ndy kk
2025-04-23 20:09:49
0
lizlove_965
💥💫lizlove💥💫 :
😂
2025-06-14 07:43:34
0
electrician9402
electrician :
mafanikio ni mipango ya mtu binafsi
2025-06-14 10:34:56
0
user7181436388438
A Z I Z Y🍍 :
kama formula ya utaftaji yang inanilusu kulala had saa 3 nifanyaje sasa niamke niende wapi???
2024-04-17 16:11:58
0
jacob4378902
Jacob :
apo umenisema kabsa kaka dah
2024-04-02 07:03:06
0
swadryan
🇩🇪 💓🇩🇪 :
naamka mapema naenda wapi surely kama kazi hazipo🤣🤣
2024-04-04 16:10:13
0
peterleonard05
Peter leonard :
hujui maisha wewe pointless
2024-04-07 08:11:04
0
user3122787692350
user3122787692350 :
je wanaofanya kazi usiku kama walinzi mchana awatakiwi kulala, nauliza?🤣
2024-04-07 18:53:20
0
masuodissa36
masuodissa36 :
unakwenda wapiiii
2024-04-11 07:32:20
0
anoldcharles973
Anold Charles :
Je kama kazi yako inafaa kufunguliwa saa2
2024-04-15 18:02:46
0
rehemaoisso
rehemaoisso :
mh
2024-04-16 13:16:05
0
its_mkuu51
mkuu :
fact
2024-06-03 16:55:37
0
cattiewapattie
Catherine Cyrili :
kumbe kuamka saa 1 ni kuchelewa
2024-04-28 08:45:28
0
lusajoabia870
Lusajo Abia :
huyo anatafuta ugali tu😂😂😂
2024-05-01 22:44:39
0
www.cathy.com03
Cathy mass :
helow. naomba kujoin kwa. group. lako
2024-05-03 15:01:46
0
baba_nino666
Baba_nino666 :
mimi kaziyangu n kuanzia saa6 xaxa niamke saa12 nikafany nn nnje
2024-05-06 07:25:30
0
user1398398054696
mf9/6 :
Network marketing kwa njia nyingine hii.. beware guyyss😭
2024-05-23 19:41:12
0
emanuelalphonce2
@Emmanuel :
tushaamka hadi saa kumi usiku lakin wp, tunakesha job lakin wp.🤣
2024-05-28 07:23:53
0
dreamskin_tz
DreamSkin Tanzania :
🥺🥺🥺
2024-05-30 03:59:14
0
To see more videos from user @josephndobandola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About