Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@josemtusita6: #tikitoktanzania🇹🇿
Josemtusita6
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 April 2024 09:15:33 GMT
231439
6239
354
243
Music
Download
No Watermark .mp4 (
6.11MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
4.67MB
)
Watermark .mp4 (
10.22MB
)
Music .mp3
Comments
Recho Kizumbe :
mtu alale nje yeye hapokei cm yeye ningepiga cm tatu tuu kama hapokei navuta shuka nalala kama kuna lolote nitajua
2024-04-02 11:03:10
69
Latifah_unique :
Dada ulikua hupati hata story za ndoa kwa wakubwa wako kwamba wanaume wanalala nje bila taarifa😭😭😭
2024-04-02 11:23:16
29
msz T Twang :
nyie munaosema kua ningelala tu mala ningemuacha omba isikukute kumbuka huyu sio hawara ni mme wa ndoa 😂😂 lzm utaangaika tu kumtafta omba yasikukute
2024-04-03 07:35:06
37
magie💞💞 :
tulioachika jamani hatukupenda nimengi tunapitia hawa mwanaume nimammbwa makali binafsi siyawezi
2024-04-02 12:57:46
19
Debby Debbie :
dada we unasemea usiku kucha watu tumelala wiki 3 huoni mtu ndani lakini ukienda ofisini kwake unaambiwa yupo ila wanaume mbinguni mtapaskia akii🤣🤣
2024-04-29 03:44:34
0
nice mwakaje :
Aisee mbona mimi nina roho mbaya nikoje???🤣🤣🤣
2024-04-02 11:01:30
27
Miss kessy :
Yaaan naandika nafuta naandika nafuta sijui hata ni comment Nini jmn...Ila hii ndio maana naogopa Hawa wadudu SIJASEMA WANAUME NIMESEMA WADUDU😏
2024-04-02 19:05:36
12
lizzy :
dada unastori kama yangu kabisa kinachotuumiza wanake ni uvumikivu na watoto
2024-04-05 12:21:51
2
Joyce sabida :
mm ata siku tatu siendi kumtafuta kama kafa nangoja maiti
2024-04-02 11:23:41
7
Jessica 🦋 :
Wanawake kama hawa wote walifariiki vita ya pili ya dunia
2024-04-02 12:15:01
9
boss lee ♥️💕🤍 :
😳 nilichojifunza nikuchepuka tyu amna mwanaume alietulia nakama ataona comment yangu bc ajua show show 😂😂😂
2024-04-12 12:25:25
2
Neema Michael :
siondoki wala siachiki na wala simpendi tena ntaishi kama nipo sipo ili kunusuru magonjwa nyemeleziiiiiiii sukar ya nin presha ya nn
2024-04-02 15:58:50
2
Rinah🫶 :
Duh watu mnapenda mie ningeliachatu ilo dudu liishi linavotaka
2024-04-02 10:30:19
18
Wema Pianno :
Izi mambo sikia kwa mtu anahadithia😂😂😂sitaki kukumbuka
2024-04-03 13:25:15
3
lilyshayo5 :
huo ndio moyo wa mwanamke akishafika mwisho anamwona mwaname wake kama mtu baki na kamwe harudi nyuma
2024-05-02 11:49:12
1
jokhary :
dadangu hakulala kucha kumsubiri mumewe ..kumbe kenda kuoa
2024-04-04 02:16:54
1
Naima shaibu :
Namuelewa sana uyu dada 😍
2024-05-15 00:22:40
1
Agness Mika :
Duh dada pore wanaume nimitiani
2024-04-04 00:03:00
1
Jashlyn🥰 :
woii mm ht sijui kwnn nimekuwa bandidu kias hicho uwiii nalala nasubir tarifa kwa washkaji zake
2024-04-02 12:18:22
9
Neema Michael :
me ningelala najamba cku hiyo nyumba isipoanguka ni bahat
2024-04-02 15:55:50
6
alice :
ivi mnapataga nguvu na wapi ya kumtafuta mwanaume🤣🤣🤣🤣pole dada
2024-04-02 10:17:37
6
Ivon charles :
Wanaume wanaume wanaume nimewaita mara tatu ipo siku mtatuuwa kwa plesha
2024-04-02 09:41:53
5
Neema Clausy :
Pole sana dada mkasa wako ndio ndio niliokutana nao ni hivyo hivyo hakuna kilichokosewa,Omba yasikukute jaman .
2024-04-03 22:57:06
1
MAMA G🦋 :
pole sana dada lakin kuwa makin na hao ndugu wa mume ni wanafiq sana hao
2024-04-04 13:37:28
1
The dreamer :
Mnasemaje sis tulioko huku njee,tuje au tubaki tu 🥺🥺🥺
2024-04-02 14:43:02
3
To see more videos from user @josemtusita6, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#มาส์กโอปป้าหน้าใสคุมมัน #Leness #มาส์กหน้าleness
#parati #fyp #tendencia #amor
@TikTok # # # # # creatorsearchinsights #foryou #foryoupage # #شعب_الصيني_ماله_حل😂😂 #kurdistan @ #مەسروربارزانی
#fypシ #blowthisup #viral #cute
#viral #shein
🙁 ya 3 meses. #ex
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy