@healthbeauty1111: 👉Mjifunze hapa namna ya kupaka face cream😂sio mnachukua mafuta kujikandika usoni hapana hatuend hivo wapendwa😂😂😂 unachukua kidogo sana then unapaka usoni🥰...hivyo jitahidi kuwa na face cream inayoendana na aina yako ya ngozi usipake tu kila face cream...kwa mfano hiyo face cream aliyoshika hapo ni for all type skin ni anti- aging face cream ..sh 35000...nzuri sana....kuanzia miaka 25 + paka bidhaa za anti aging😊😊😊... 👉Na Uzuri wa kupaka Face cream kama nilivyoonesha kwa video itakusaidia ngozi kuwa soft , kukausha chunusi , ngozi kuwa na glowing skin...pia kutumia face cream kwa muda wa miez 2/3 na pendelea kupaka usiku baada ya kuosha uso wako , Asubuh osha uso, tumia toner kwa wik mara 2 , scrub kwa wik mara 2,paka serum then na suncreen ingia zako job💥💥 @linda_skin_therapy 0684832057 #tanzania #burundi #rwanda #kenya #arusha #moshi #tanga #morogoro #katavi #daressalaam #kenya #moshi

Dr BELINDA
Dr BELINDA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 April 2024 12:45:38 GMT
963
6
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @healthbeauty1111, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About