@biolifeherbs: FAIDA ZA VIRUTUBISHO VYA MADINI YA CALCIUM PAMOJA NA VITAMIN-D3. Habari yako ndugu yangu, Virutubisho vya calcium na vitamin D3 huwa vinategemeana sana Katika utendaji wa Kazi, tuanze kwa kuzungumzia faida za madini ya Calcium. 🔰Madini ya calcium yanasaidia Afya ya mifupa na meno. Kuponya majeraha ya mifupa na meno, na kutibu magonjwa ya mifupa na meno. 🔰Inasaidia kuongeza stamina na ushupafu wa mwili. 🔰Madini ya calcium yanasaidia mnyumbuliko wa viungo na kuongeza ute ute kwenye viungo. 🔰Calcium inasaidia mishipa ya fahamu kusafirisha taarifa kutoka kwenye ubongo kwenda sehemu mbalimbali za mwili. 🔰Pia madini ya calcium ni muhimu sana kwa mishipa ya damu Katika Uwezo wa mishipa kutanuka na kusinyaa, kwa hiyo itasaidia Kurekebisha kiwango cha shinikizo la damu. 🔰Pia calcium ina mchango mkubwa Katika utengenezwaji wa vichocheo (hormones) na vimeng'enya (enzymes) za aina mbalimbali. 🔰Madini ya calcium ni muhimu sana kwa mama mjamzito Katika ukuaji wa mtoto akiwa tumboni, pia na utengenezwaji wa maziwa kwa ajili ya maandalizi ya mtoto akizaliwa. Sehemu kubwa ya maziwa ya mama Huwa yanakiwango kikubwa cha madini ya calcium, hivyo mama mjamzito na anayenyonyesha ni muhimu sana kupata calcium ya kutosha, hasipo kuwa na calcium ya kutosha ubongo wa mama utoa taarifa na kutengeneza njaa Kali ili apate calcium, hii umpelekea kunenepa, na pia baadhi calcium aunza kutolewa kutoka kwenye mifupa ya mama na kupelekea kupata matatizo ya mifupa mara baada ya kujifungua. FAIDA YA VIRUTUBISHO VYA VITAMIN-D3. VITAMIN-D3 inasaidia sana mwili kusharabu Calcium na kutumia kwa ajili ya kuboresha Afya mifupa, meno, kucha na nywele. Pia tuna Virutubisho vya Calcium vilivyo changanya na vitamin-d3. Kama unapenda makala zetu comment Asante, like, share, subscribe na tufollow.

biolife
biolife
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 April 2024 15:16:56 GMT
8184
253
33
47

Music

Download

Comments

user1678652162462
my kis love :
asant my
2024-04-12 16:42:00
2
mohamedathuman565
mohamed [email protected] :
Asante
2024-04-24 08:51:37
1
patienceyaa713
Patience Yaa :
Asante sana
2024-04-12 18:50:36
1
user1808152185937
kanute :
dawa ya kufuguwa mishipa
2024-04-13 22:31:28
1
saidyallyally
saidyallyally :
ahsante
2024-04-12 16:49:45
1
user9458242445123
user9458242445123 :
asnte
2024-04-12 16:07:36
1
user9343095880881
jonathan Joseph :
asante
2024-05-02 18:10:31
1
user587074166
Dr saleh :
asnte
2024-04-25 12:16:30
1
user2931813818533
user2931813818533 :
asante
2024-04-23 08:03:27
1
abdulnashib
user5722099388727 :
asante
2024-04-18 08:19:57
1
user2878637617461
@kiyangayangaropewalker1 :
SHUKRAN DOCTAR
2024-04-13 00:14:08
1
user3430773401295
Believer :
Asante
2024-04-12 20:54:17
1
user4994403135882
🦋BIBI NAJMA🦋 :
asante
2024-04-12 17:28:32
1
abuu.rajab
Abuu Rajab :
asante sana
2024-04-12 17:00:09
1
mamyrei123
no time for love :
ahsante
2024-04-12 16:59:52
1
hamisicharo.gunga
Hamisicharo Gunga :
asante
2024-04-12 16:43:17
1
samwelnango
samwelnango :
asant
2024-09-19 18:36:31
0
user99001453432090
user99001453432090 :
Asante
2024-06-08 12:46:42
0
mamyhusnabfrom30
Mamy husna b from tz :
♥♥♥
2024-05-16 19:24:13
0
nigaommy005
Omar Hana :
vpi naeza kupata ujauzito ya mapacha
2024-05-12 19:55:11
0
user9085414387870
shebby :
asante
2024-05-08 07:45:06
0
monicasengamarwa
monicasenga marwa :
Asante sana kwa kuongea lugha ya kiswahilli.. asante sana tena kwa Elimu bora mno kuhusu afya...
2024-05-06 08:34:13
0
monicasengamarwa
monicasenga marwa :
Aante sana bio life.
2024-05-06 08:32:35
0
goodnewspm
goodnews pm :
asante
2024-05-02 05:35:29
0
rosenyapera2
mama yao :
Asante
2024-05-01 05:43:46
0
user6533211263159
Gachanja Irungu Aka Babu :
asaniti
2024-04-16 14:33:05
0
alfredmutegi5
john nyuba :
asante sana thanks again
2024-04-13 20:09:25
0
abugalby
ابوقلبي :
asante
2024-04-13 12:37:22
0
__fetty2020
Ms_ Fetty 💋😜 :
Asante
2024-04-13 11:07:35
0
judith43466
Momov3 :
asante
2024-04-13 10:17:19
0
heri_mokale9
Heri_mokale@9 :
@nataka hio dawa ya. mikojo
2024-04-12 19:33:20
0
To see more videos from user @biolifeherbs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About