@nicelyone1:

user5353018239789
user5353018239789
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 17 April 2024 04:46:01 GMT
78716
2839
75
1507

Music

Download

Comments

user5011906908581
user5011906908581 :
really Amen
2024-04-17 06:32:07
3
evodear.manyama
evodear manyama :
nikwel kabisa mchungungaj mm tumezaliwa watt 5wakike tumeishia form2 na wengn hawajafik kabisa na wote tumezaa bila ndoa,,hatujachat tamaa bado mungu
2024-04-17 16:47:33
1
kristosamwelilazaro1
kristosamwelilazaro1 :
mzaliwa wa kwanza ni kristo mwenyewe jamani,, sisi tunafwata,, so shetani akitaka kuburuga aanze na huyo mwamba,,
2024-04-17 10:30:49
10
nishamtega
nisha :
Amina mungu nisaidie niwe lango jema
2024-04-17 08:45:29
4
user8618158511715
Ane@Amy :
Amen MUNGU Msaidie kaka yangu apate neema ya wokovu
2024-04-17 06:47:22
4
mariaolomi88gmail.com
mariaolomi88gmail.com :
mungu nisaidie mzaliwa wangu wakwaza awe imara akiongozwa na mungu kwa Kila hatua ameen
2024-04-19 07:55:19
3
lifemeaning64
lifemeaning64 :
Ameni 🙏🙏
2024-04-17 16:50:23
2
user7108254963362
🥰🥰🥰🥰🥰 :
ni kweli kabisa ee mungu nisaidie mwanangu wa kwanza afike hadi chuo kikuu na kuendelea
2024-04-29 19:56:11
1
nashipaimonica
nashipaimonica2official :
Mungu mfungulie mema lango langu
2024-04-17 20:35:34
1
elizaneman1
elizaneman1 :
mwenye namba ya mwakasege pls naomb
2024-04-17 11:35:40
1
leyla.makaga
Leyla Makaga :
Mungu saidia mzaliwa wangu wa kwanza akawe imara daima
2024-05-09 16:33:24
0
user5658679874162
user5658679874162 :
yesuuuuuu... sikia maombi yangu lango langu nalitamkia baraka
2024-05-09 14:01:31
0
hildayohana5
hilda yohana :
na ndio mana ata watu wa nguvubza giza wanapenda kupiga lango
2024-05-09 13:03:00
0
user6167599147051
user6167599147051 :
sawa kabisa sasa nini kifanyike ili huyu mzaluwa wa kwanza awe Baraka kwa wenzake.
2024-05-08 08:45:44
0
m.anna094
user9663995591982 :
yesu msaidie wanagu
2024-05-05 10:18:47
0
eva6112
eva6112 :
Ameen mtumishi nimejifunza kitu 🙏🙏
2024-04-29 05:55:54
0
jenjuma668
Jen Juma :
hii laana haitamkamata mtoto wang w Kwanz mungu yupo pamoja n mm
2024-04-26 08:25:33
0
tinertuner
Tinertuner :
Upo sawa
2024-04-26 03:45:15
0
vickymong76
victoriamongi232 :
mungu nisaidie na mtmt
2024-04-25 13:33:01
0
vickymong76
victoriamongi232 :
mungu hatusaidie ni kweli mtumishi tuombee
2024-04-25 13:31:51
0
user43779185098
user43779185098 :
Mungu nitetee dhidi ya mzaliwa wangu wa kwanza akawe lango Jema la familia na kizazi changu kinachoendelea
2024-04-25 10:50:11
0
angeljoul
Angel Joul :
mungu barili lako langu la kwanza
2024-04-22 11:04:29
0
maggie.shayo5
Maggie Shayo :
amina
2024-04-21 11:12:30
0
rebecajames2
Rebeca James :
kabisa
2024-04-21 08:08:00
0
mrsstephen7
lilianmahiza :
mungu nifungulie lango langu la kwanza likawe nuru kwa ndugu zake
2024-04-20 22:41:49
0
To see more videos from user @nicelyone1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About