@davidayubusima: Mungu naomba ubariki kazi ya mikono ya mume wangu Namuombea kibali ,uheri , kufanikiwa na utoshelevu wa hali ya juu Kama kazi anayofanya sio halali ninaomba umuonyeshe Baba na umuongoze katika kazi ya halali Ninaomba umpatie nguvu ,imani na maono makubwa na awe tayari kuwajibika kama Baba na kiongozi wa familia hii Ninaomba Baba ukawe ni Alpha na Omega kwenye kazi yake ,Muepushe na kila njia za mkato na kutegemea waganga wa kienyeji katika mafanikio na badala yake akutazame wewe tu Muepushe na kila roho za wizi ,utapeli na ujambazi anapokuwa kazini Yeye mwenyewe asiwe na hizo roho pia akikutana nao mpe nguvu ya kuwashinda katika jina la Yesu Ninamuombea ujasiri katika kazi zake ,Muepushe na kila roho za woga pamoja na hofu Mungu umpatie kufanya kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa na si katika mikono ya ulegevu Baba ninaamini ya kuwa Baraka zako hutajirisha na utambariki mume wangu kazini nasi hatutapungukiwa Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo Mithali 10:22 Ninamuombea kufanikiwa katika kazi zake zote halali katika jina la Yesu ninaomba na kuamini Amen David Sima Fasten to Jesus
David Sima
Region: TZ
Wednesday 17 April 2024 20:49:48 GMT
Music
Download
Comments
chynaah @🌡️💊 :
Name of the song pls🙏
2024-04-18 09:13:54
23
marynasieku01 :
After succeeding anaenda kwa love of his life. ...men waogope aisee
2024-04-27 05:46:13
11
Josephina Wambura :
name of song plz...
2024-04-20 13:18:39
7
deborah :
ameeeen in might name of Jesus
2024-04-18 03:56:06
21
Felista Alfredi :
Ameni in Jesus name 🙏
2024-04-20 09:19:00
8
pauline martha :
Amen to my future husband
2024-04-19 20:58:44
5
🦋Ms doreen🦋 :
Emen in Jesus Name
2024-04-18 06:40:17
7
Miamica gal :
Amen, I am pray for my future husband
2024-04-18 09:20:28
10
happiness# :
Amen praying for my future husband
2024-04-20 17:27:10
5
ester flex :
is a very important to pray for god
2024-04-22 11:32:58
2
user5457510040175 :
right
2024-06-16 19:06:24
1
Virginia#007 :
Amen to my hubby
2024-04-25 05:10:43
2
Cynthia K :
thanks for opening the door for my hubby Dear God, thanks So much
2024-06-10 06:27:16
2
👑 Her 👑Majesty👑💯🇧🇷🇰🇪 :
Amen Lord fulfill my man's desire
2024-04-23 09:57:04
3
AuraHomesKenya :
Amen i pray to my husband ❤️🙏
2024-05-08 15:31:48
2
Adella Marriz :
amen to my hubby in jesus name
2024-05-11 11:15:59
5
tedy💯🤲❤3432 :
emen in Jesus name
2024-04-21 19:24:50
3
jojo255 :
Amen to my men
2024-05-14 16:29:56
1
elizabethfredrick1 :
Amen🙏 in jesus name
2024-05-30 14:38:29
1
SMILE 🦋 :
amen to my husband 🥰
2024-05-08 06:32:35
2
bendettamulemba :
Amen God open new doors for my husband in the mighty name of Jesus 🙏🙏
2024-04-23 11:58:57
6
😇its N💙 :
Amen to my future husband 🛐
2024-05-13 07:30:22
2
Joyce Majabu :
Amen very powerful prayer
2024-04-24 07:40:24
2
Queen Nnko :
Amen I receive on behalf of my future Husband 🙏
2024-05-29 18:04:51
2
#bree_keshy💎 :
i wish i could have one who cares about me
2024-04-23 17:53:16
2
To see more videos from user @davidayubusima, please go to the Tikwm
homepage.