@ibrahimmkenya2: Replying to @wardasaid696

MAALIM IBRAHIM MKENYA
MAALIM IBRAHIM MKENYA
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 18 April 2024 04:38:48 GMT
89762
1418
129
658

Music

Download

Comments

marigamandano0
Mariga Mandano :
wapatikana wapi Tanzania?
2025-05-24 18:42:29
0
luciakunda0
luciakunda :
samahani lakini naroweka pamoja na sindano zake au nazitoa
2024-12-28 06:02:02
0
iannzingu
ian beast :
wangu nimeno inatoka
2025-10-23 08:07:44
0
mimah....ally6
mama G💕 :
maalim nisaidie dawa ya kumtuliza mwanaume kuchepuka mana kazid
2024-04-18 10:19:32
2
husnah.254
ilhamcity :
naukipata ni meusi yatakua yamekuondokea yakamrudia au vipi
2024-06-07 20:32:03
1
graciellanzamugma
[email protected] :
nisaindiye na dawa yakutosha bouton kusura
2025-08-30 16:47:26
0
kibeboy2
Kibeboy :
kama unakaa na mume au mke, si atadhulika?
2025-08-09 22:10:47
0
ev.mossesmnazareth
Ev.mossesmnazareth :
waislam wote ni washilikina ni wachawi sana
2024-06-02 08:23:52
0
dancetrending8
kicks#E :
asalam waylkum sheikh mmi nlifnya ilo jarbio lkni siku ya nane ama ya mwisho nikienda kuangalia napata akuna maji ila kitungu kimeota lkni nilikizika
2024-04-22 08:28:24
1
user1734435884848
aishe chembea :
shukurani
2024-04-18 06:16:38
0
fathma.love.you
Fathma love you :
kwani huwa waja Kenya ama nilikufananisha shekhe wangu
2024-07-08 17:53:30
0
miliyachieng6
lilani achieng :
Thanks
2024-04-21 16:06:03
0
user8838515507316
user8838515507316 :
Mm sku ya 7 nmekuta maj meus kitunguu sjakikuta sjui ndy nn
2024-05-04 18:54:03
0
brackyx
brackyx :
naeza kukupata wapi mi nko na shida mob
2024-05-27 10:24:24
1
junior.sboy
Junior sboy. :
maalim nisaidie dawa za kuondoa vifungo vya pesa na kusafisha nyota na kuondoa nuski mwilini
2024-05-06 00:40:29
1
user220211950855
User4455667722255 :
kwamtu ninae mdai namfanyaje ili anilipe hela yangu
2024-04-18 10:35:18
1
hashima.moha
Hashima Moha :
ikiisha cku 7 wayafanyaje hayo maji na kitunguu na sindano watupa au wazika
2024-04-27 18:01:48
1
use0749750275
mr walba :
baada ya kuroweka tunafanyaje badae
2024-06-19 20:12:20
1
shida_81791
shida 7779 :
sasa km aliyefanya anazuia isimrudie inakuwaje maalim. Je mimi nitakuwa nimepona au
2024-04-19 13:04:46
1
aishakathure5
aishakathure :
dawa ya ndoto za shuleni na kijijini
2024-04-18 19:19:18
1
yusraabdala2008
yusraabdala2008 :
Ustadhi mm imenisaidiya ya jivu kuona na Siku yakwanza nimeona mke mwenza Abaye ashawachwa tuko mahali lakini hakuweza kunitizama mm na sikumtanganya sura aliondoka hataka siku 2
2024-06-26 06:06:59
0
aisha.kishuko
Aisha Kishuko :
Mm naomba utaje zile dawa za uchawi wa kivuli pls
2024-07-04 12:04:03
0
brigithasalim
princess B :
alafu baada ya siku 7 tunatupa wap
2024-06-24 11:45:42
0
paulinebakari
peninahchris :
na ukiweka kwenyekikopo cndano unakuwa umezitoa kwenye kitunguuu au unadumpukiza pamoja
2024-06-23 03:53:47
0
paulinebakari
peninahchris :
ukiweka kikae ckungap
2024-06-23 03:51:44
0
_sakisher
sakisher :
naukisha fanya hivyo .napia huyo mbaya hajakufa itakuaje .nieleze malimu wangu
2024-06-20 07:39:14
0
_sakisher
sakisher :
ishallah
2024-06-20 07:26:28
0
bangeyawatoto
Bange ya watoto :
mi natafuta hii kitu ya mjarabati nitaipaje kwa mfanop
2024-06-02 19:17:55
0
tyler89370
tylerkorir :
me kuna mtu amekatalia pesa angu
2024-06-02 14:28:36
0
imanuelmtavangu
imanuelmtavangu :
sindano nimekosa pin je haifai
2024-05-30 11:05:35
0
kiazikitam
123456789 :
Maalim....kama nshaweka siku saba maji yakawa meusi na adui hajafikiwa na manuizi yangu nifanyeje ili yamfikie maana anaweza kuwa na kinga
2024-05-25 21:52:31
0
nurutwaha576
princess noor :
dawa ya fibrois
2024-05-25 20:16:17
0
kateatieno908
Lady Kate :
Izo shindano kumi na mbili nadunga kwa kitunguu ama
2024-05-23 15:59:33
0
kateatieno908
Lady Kate :
Nieleze iyo ya jivu
2024-05-23 15:58:10
0
user1298401660872
user1298401660872faizaally :
mwalim nauliza kitungu kikiota tena nakuleta majani niye vote nimezika vile vilikuwa na maji yaligeuka meusi sana "miye nilizika kariba na kazi yangu kwasababu huko na lala huwezi kuchimba asante
2025-02-11 13:47:26
0
kamaujohnsila
kamanda :
maalim na kama anakinga hakitarudi Tena kwako
2026-01-28 11:49:26
0
hytham097
🌺Miss Haitham🧜‍♀️ :
😁
2025-06-02 18:12:16
0
alexmwaitula
Alex sanga :
🥰
2025-05-15 03:46:21
0
yusraabdala2008
yusraabdala2008 :
Siku ya pili nilipigana nakiumbe kiss hi eleweka na nikawa na soma yasini na huku napijana nikamuuma sana na kushutuka Siku 3 sikuota na 4 nilipijana kidogo alinitaganya kwa shingo na nikapigana nijib
2024-06-26 06:09:09
0
raulinenyevu
raulinenyevu :
🥰
2025-02-02 09:05:56
0
william.mlewi
William Mlewi :
😂
2025-02-01 17:53:17
0
user6196807374934
Anna :
Asante sana
2024-10-07 15:10:48
0
droughtheller
Drought Heller :
Maalim, baada ya hizo siku saba sasa ikifika siku ya nane? Maji yakiwa meusi, natupa hicho kitunguu na kumwaga maji?
2024-08-12 00:21:15
0
issaissa3551
Issa Issa :
kwhy malim baada ya ck saba maji tunamwaga au alafu nakitungu hch chenye sindano tunakitupa au
2024-07-11 10:14:34
0
magie.thomson
Magie Thomson :
unaloweka pamoja na Simdano na je kama havirudi kwake mm natibikaje
2024-05-09 03:18:23
0
habibacrazy254
habibacrazy :
pia vitunguu ni kumi na mbili
2024-07-03 22:12:22
0
ustardhi17
ibra :
shukran sheikh
2024-04-18 13:10:32
0
saggygra0
saggygrace :
🙏🙏🙏
2024-04-21 11:02:28
0
user2812367841373sarah
GREEN APLE🍏🍏 :
sasa mbon mm nilifanya nikam.me ndo natesek nachomwa mm kila mahara nisaidie hap
2024-04-20 19:33:54
0
nyaboke477
nyaboke kiazalaaa 💦😏 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2024-04-20 07:49:00
0
user6386917294946
carol :
Asante🇰🇪🇰🇪
2024-04-20 00:13:33
0
irene25478
lreenokweta :
Asante
2024-04-19 23:23:41
0
To see more videos from user @ibrahimmkenya2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About