@catherine.14_: #catherine14 #kajalapaulah #tanzania🇹🇿 #upendo #fyp #tanzania #tanzaniatiktok #kajalamasanja #marioo #congolaise🇨🇩 #familia #kenyantiktok #babyshower #wasafimedia

C a t h e r i n e😍.
C a t h e r i n e😍.
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 18 April 2024 17:01:20 GMT
663187
30004
192
183

Music

Download

Comments

magy5484
magy :
yaan ungekuwa mjanja ww na mamaako mngeshauriana kwanza kabla yakubeba mimba ungefu ndoa kwanza na Mario ungetumia akili km ya Elizabeth maiko😱
2024-04-18 18:02:20
22
kivugo8
beatrice :
ndoa ki2 gani ban embu muwacheni pau wangu enjoy mama
2024-04-18 18:33:33
43
fauniamodol
Faunia 🩷🔐 :
utakuta unamutukana Paula wew umejion kam unakizazi eti bila haibu eti asigebeba mimba kwahio ulitaka abee mawee au naogea tuu😂😂
2024-04-18 18:16:29
7
rosemary.emmy
Rosemary Emmy :
Halafu mnaosema angefunga ndoa kabla yakubeba mimba kuna ndoa siku hizi mwanacheni paula jmn na ye ni mda wake
2024-04-18 20:17:28
14
ebbigael24
ebby :
Mungu akulinde na akufanye kuwa mwanamke bora na imara sana.
2024-04-19 08:38:46
5
tinner3279
Tina :
wow
2024-04-19 18:34:38
5
chocolate51381
chocolate :
Paula pretty 😍 💕 ♥ ❤ 💖
2024-04-19 09:53:17
5
sauda.issa6
Sauda Issa :
congratulations
2024-04-19 11:59:15
7
tasiana.ntunga
Tasiana Ntunga :
Kwan walofunga ndoa wanamaisha gan kumzid Paula n maamuz yake na mume wake
2024-04-18 18:26:10
8
baningagrace
Ki tomate kya goma🍅 :
ka nenepa🥰🥰
2024-04-18 17:24:42
12
bintiakebaba
Bintiakebaba01 :
Congleshen pau 🥰🥰
2024-04-25 11:41:01
5
mrstve33
usmrs steve :
Anae sema ndoa ukute alizalia nyumban au hata yeye hamjuwi baba ake embu mwacben jamn khaa kila mtu na uamzi wake
2024-04-19 07:22:56
11
user1949600773591
Asha Msafiri :
watu wengine wanavituko!!hivi wangapi wanafunga ndoa na mimba?au mmemuona yeye tu.muacheni jaman msipende kufuatilia maisha yamtu.ni maamuz yao wenywe
2024-04-19 04:19:11
5
official_ashley375
🎀naima🎀 :
congratulations
2024-04-18 18:42:20
7
zuuh6467
zuuh :
umenenepa mwenyewe adi raha❤
2024-04-18 18:58:19
7
feymah26
fey_cute tz :
ndoa za sahiv ni mtt 2 😳 co kwa kunenepa huko
2024-04-18 18:59:36
6
chri.blanc
Christelle :
paula ni murebo sana ♥️♥️🕊️🕊️
2024-05-08 08:25:11
1
user2216252816374
anna :
sawa
2024-05-13 08:00:43
1
maggygati
maggy Gati :
Where's juma lokole
2024-04-19 11:08:37
10
user2867931599166
[email protected] :
wakomeshe pau majani❤❤❤
2024-04-27 07:54:54
1
neemaluoga713
neema luoga :
mtoto ndo kila kitu ndoa ziyada 2
2024-05-12 12:06:11
1
elizabeth.julius
Elizabeth Julius :
waoooh ❤️
2024-04-24 16:25:13
1
brendaofficial100
Brenda Ann Linder :
alafu parents wa mario wako wapi, ama nisiulize
2024-04-18 20:09:13
3
aimfemmafrik
Aiméfemme Afriq :
best queen of mariooo
2024-05-24 09:35:03
2
phina_moses255
Josephine Moses :
mwanamke mjanja anaejielew na sifa ya mwanamke n mtoto unawez fung ndoa n usizae pia ndoa ikawa chungu,.......muachen dada wa watu azae hogera mwaya
2024-04-19 14:25:38
1
To see more videos from user @catherine.14_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About