@islmic_editz: Dur nikal jao is behiya zindagi se | Tariq Jameel bayan black background video | Islamic editz . . . #foryou #foryoupage #fyp #viral #islamic_video #islamicblackscreenstatus #islamicblackbackground #islamiceditz

𝙄𝙎𝙇𝙈𝙄𝘾(black screen)
𝙄𝙎𝙇𝙈𝙄𝘾(black screen)
Open In TikTok:
Region: PK
Friday 19 April 2024 16:26:16 GMT
7312
185
10
101

Music

Download

Comments

islami123333
☪️ :
bilkul
2026-01-23 11:49:59
0
stylekhan49
style Khan :
😭😭😭
2026-01-20 15:58:03
0
aamir0941
꧁❃✭Aamir Sohail ❃✭꧂ :
2025-12-28 16:35:49
0
badshahgk1
Badshahgk1 :
😂
2025-12-27 01:41:37
0
bayanroohofficial
Usama Writes👑 :
2025-08-10 12:14:06
0
itx_khan042
خان 🫀🤍 :
🥰
2025-08-08 06:16:20
0
islamicvipr324
islamicVIPR :
🥰🥰🥰
2026-04-02 14:19:18
0
saleemumrani3
Umranii 🥀🤍 :
❤❤❤
2024-04-19 20:34:13
0
haseeb.kharal51
🔥رائے حسیب کھرل جٹ🔥 :
🥰
2025-05-04 16:54:54
0
itx_khan042
خان 🫀🤍 :
😅
2025-08-08 06:16:20
0
To see more videos from user @islmic_editz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

🇫🇮 MIIKKA 'MWAMBA' KARI: MFINLAND ALIYEKUJA NA BLUEPRINT YA MELODI ZA BONGO FLAVA 🇹🇿 Ukubali au ukatae, ukweli wa kihistoria utabaki kuwa raia wa Finland, Miikka ‘Mwamba’ Kari, ndiye mgeni aliyeshika kalamu na kuchora sehemu kubwa ya ramani ya sauti (sound) ya Bongo Flava kuanzia katikati mwa miaka ya 1990 hadi mapema miaka ya 2000. Kama mtayarishaji wa muziki (Producer), jaji wa Tanzania Pop Idols, na mshindi wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA), hapa kuna mambo 10 usiyoyajua kuhusu
🇫🇮 MIIKKA 'MWAMBA' KARI: MFINLAND ALIYEKUJA NA BLUEPRINT YA MELODI ZA BONGO FLAVA 🇹🇿 Ukubali au ukatae, ukweli wa kihistoria utabaki kuwa raia wa Finland, Miikka ‘Mwamba’ Kari, ndiye mgeni aliyeshika kalamu na kuchora sehemu kubwa ya ramani ya sauti (sound) ya Bongo Flava kuanzia katikati mwa miaka ya 1990 hadi mapema miaka ya 2000. Kama mtayarishaji wa muziki (Producer), jaji wa Tanzania Pop Idols, na mshindi wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA), hapa kuna mambo 10 usiyoyajua kuhusu "Mwamba" huyu kutoka Ulaya Kaskazini: 📑 Shule ya TOT, Mapinduzi ya FM Studio na Siri za Studio 1. Field ya TOT na Kapteni Komba (1993): Miikka alikanyaga ardhi ya Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 1993 kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (field) baada ya kuhitimu chuo kikuu cha sanaa kule Finland. Katika ujio huo wa kwanza, alifanya kazi ya ndani kabisa na Marehemu Kapteni John Komba katika bendi ya TOT. 2. Kusotea Ajira na MJ Records: Aliporejea rasmi nchini kutafuta maisha kama Producer, yeye na rafiki yake walielekea kwanza MJ Records kutafuta nafasi ya kufanya kazi, lakini kwa bahati mbaya hawakumkuta Master J. Hatima yake ikampeleka FM Studio ambapo ndipo historia yake rasmi ilipoanzia. 3. Nidhamu ya Mshahara (1999–2004): Pale FM Studio, Miikka alikuwa mfanyakazi wa mkataba mwenye mshahara maalumu. Hakuwa anachukua pesa mfukoni mwa wasanii chipukizi au wakubwa, jambo lililomfanya afanye kazi kwa uhuru na utu. Mkataba wake ulipoisha mwaka 2004, alifunganya vilago na kurejea Finland ili kuwa karibu na familia yake. 4. 'Julieta' Ndio Mlango wa Kwanza: Wimbo wa Dully Sykes uitwayo ‘Julieta’ ndio uliomtambulisha Miikka rasmi kwenye ulimwengu wa Bongofleva. Baada ya hapo, wasanii kama Saida Karoli, Mad Ice, Dudu Baya, Banana Zorro, na Hardmad walimiminika FM Studio kufuata mikono yake. 🎼 Ma-Masterpiece Yanayoishi Milele 5. Mapinduzi ya Daz Nundaz ('Barua'): Wimbo uliompa heshima kubwa zaidi ya kiufundi ni ‘Barua’ wa kundi la Daz Nundaz. Ngoma hii ilisafisha njia na kuleta mapinduzi ya Melodic Hip-Hop, ikichanganya kurap na uimbaji wa sauti za RnB, na kuvunja rasmi utawala wa hardcore rap ya muda mrefu nchini. 6. Kichujio cha Banana Zorro ('Mama Yangu'): Ngoma iliyomtoa Banana Zorro mwaka 2003, ‘Mama Yangu’, ilipita chini ya mikono ya Miikka. Inasemekana Miikka alipindua na kubadilisha kila kitu ambacho Banana alitaka kiwepo mwanzo, akaweka ufundi wake wa ki-skandinavia na kutengeneza 'classic hit'. 7. Safari ya Nairobi hadi kwa Dudu Baya: Mwaka 2003, akiwa anasoma Nairobi nchini Kenya, Dudu Baya aliandika mashairi ya wimbo wake wa ‘Mpenzi (Tentemente)’. Aliporudi Bongo, alikwenda moja kwa moja kwa Miikka Mwamba na kumshirikisha Vivian Tillya, na mdundo huo ukawa wimbo wa taifa. 🤫 Falsafa ya Kamera na Kupika Vipaji 8. Producer Anayeogopa Kamera: Licha ya kutengeneza zaidi ya asilimia 40 ya nyimbo zilizovuma enzi hizo, Miikka alikuwa na msimamo mkali: Hakupenda kupigwa picha wala kuwa mbele ya kamera. Aliamini ustaa na picha ni mali ya msanii anayeuza sura jukwaani, na sio kazi ya producer anayekaa nyuma ya mitambo. 9. Aliyemgundua Shetta Akiwa Darasa la Nne: Miikka Mwamba ndiye Producer wa kwanza kabisa kurekodi sauti ya msanii Shetta, kipindi hicho akiwa mtoto mdogo wa darasa la nne chini ya kundi la Darstamina. Gharama za studio za kurekodi watoto hao zililipwa na nguli wa Taarab, Ali Choki. 10. Orodha ya Dhahabu (The Discography): Miikka ndiye injini iliyosuka ma-hit yasiyokufa kama: Eno Maiki — Ziggy Dee Babygal — Mad Ice Kamanda — Daz Nundaz Kwenye Chati — Balozi Dola Soul Mkiwa — K Sal Kitu Gani — D Knob Maria Salome (Chambua Kama Karanga) — Saida Karoli Tamala — Hardmad n.k Kuanzia Barua, Julieta, Eno Maiki hadi Maria Salome ni wimbo upi uliopikwa na Miikka Mwamba ukipigwa sasa hivi kwenye spika yako unahisi umerudishwa miaka 20 nyuma? #miikkamwamba #dullysykes #daznundaz #millardayo #insideoutz

About