hii ni moja kati ya ngoma kali kabisa kutoka bongo..😅
2024-04-23 08:12:56
6
MCOAST :
Mr misifa fan can I hear you say ahoo
2024-04-22 16:15:09
3
Baboon tube :
kwa fujo Roca wear zamani kulikua na nguo zinaitwa Roca wear 😂😂😂
2024-06-01 14:53:50
3
salum bin Abbas :
WE unakosea kuandika sikiliza vizuri.MISIFAZ CAMP WAPO KATI WAMETAWALA CHINI YA UWONGONZ WAKE NR DUSCO DALAA.WAPO NA DENIS KATI WAMETAWALA HUYO DENIS NDIO ALIKUWA MKUBWA WA WANAOSHE
2024-06-20 05:45:27
3
hafidhumtambo :
iyo kiitikio ndo nimeelewa leo
2024-11-11 15:21:54
1
Federico Carlos :
nakumbuka magomeni disco inaitwa mkuzuuu aise noumaa
2024-04-23 16:32:04
1
🕕m.k💸 :
Huyo ndio Mnyamwezi enzi hizo😂😂😂😂
2024-06-05 09:14:38
1
Abdul Yusuf :
dah!! nakumbuka mbali sana nikisikia hili Jimbo!!
2024-06-06 18:57:00
1
Abasi furnitures :
daah 😢
2024-06-15 22:10:04
0
proud_nyakyusa_brand :
NOMA SANA HILI GOMA 💪😅
2024-07-15 05:05:22
0
🦅 👁️ :
mwenye bongo flava yake
2024-04-25 02:37:40
1
benarfa051 :
walikuwa vyamwitu hao madem 😂😂😂
2024-04-23 05:02:44
1
hd :
kitambo ukienda clab billcanas kama DJ ajapinga ngoma hii ujuwe disco bado alijakamilika ahsnt braza dully ulijua kutuburudisha🤣🙏