Umetisha sana kuitupia yote 🙏 sio hao wengine wanatulambisha2
2024-07-15 11:08:31
5
lovely canna :
Ase kwenye Kila jambo hatupaswi kukata Tamaa kabisa na tuwe na moyo wa uthubutu tusiogope kujaribu tukatae kabisa Hali ya kusema hatuwez tunaweza mambo yote katika yeye atutiae nguvu 🙌🙌
2024-07-14 15:05:11
5
GODFREY MBILINYI :
kaka Asante sana kaka iv hakuna mwendelezo kaka
2024-07-14 16:15:40
1
user8000290903559 :
wakwaza muvizuri 🥰🥰
2024-04-23 08:01:19
2
Kibzy 🦋 :
imewezaaa 💯
2024-07-15 17:22:00
2
Elizabeth anorde :
kwel Mungu Yupo jamn🙏
2024-06-29 21:14:47
2
mercy :
jamani mwendelezo
2024-07-14 19:41:46
1
Ange Sebihura :
nimeyipenda kweli nzuli sana
2024-07-14 11:34:23
1
kida miky 🇹🇿 :
ukali sana hii lo capitano
2024-07-14 08:47:28
1
Jassa Og Kim :
nzur sana hakika mungu ni mkubwa
2024-07-14 06:51:44
1
Abeli Julias :
sipaswi kukata tamaa
2024-05-13 16:09:36
2
king of dodoma mgogo og. :
hii movie imenifunza kuwa shujaa kuwa shupavu no give up
2024-05-01 14:36:28
2
ayubu petro :
bonge la story 😂😂😂😂
2024-04-27 08:10:17
2
Alpha Hussen :
Kitu imebamba👍👍
2024-04-23 09:30:55
2
Faustin :
film nzuri kabisa tume subiria sehemu ya 2
2024-05-02 22:07:36
1
Gery 💬86 :
tunaomba muendelezo wa hii kwanza
2024-05-02 10:27:06
1
Gery 💬86 :
kamuvi kazuli bhn haraf hakana maheka heka 🙏💪
2024-05-02 10:13:54
1
verdrissiana :
saison 2
2024-04-25 11:25:11
1
Shamba La BiBi Supply Iringa :
EPISODE YA 6 IPO MBELE YENYE SAUTI
2024-04-23 07:27:31
1
Miss Happy :
Nimependa sana weka tena kana iyo
2024-07-17 15:36:36
0
BOB NASARI M :
kaka hii moviee imenifunzaa kitu asantee sanaa
2024-07-17 08:29:41
0
IM vkali :
Weka mzigo uu kaka
2024-07-16 22:14:38
0
To see more videos from user @shamba.la.bibi.sp, please go to the Tikwm
homepage.